py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Kuelekea mtanange kati ya yanga na lipuli ,hali ya sintofahamu ilitokea baada ya mashabiki wa yanga wanaojiita makomando au ninja kuingia uwanja wa samora usiku wa manane ili waulinde uwanja
Jambo lililopingwa vikali na mashabiki wa lipuli ambao walidai hao wanaojiita makomando wa yanga hawana lolote Bali walitaka kuingia na mganga wao ili wafukie vitu
Mtafaruku ulikuwa mkubwa usiku wa jana