Mashabiki wa Yanga walikuta bango la 5G za Simba Zambia

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#MICHEZO: Mashabiki wa Yanga, wanaosafiri kuelekea mji wa Pretoria, Afrika Kusini kwaajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, tayari walipowasili katika mji wa Lusaka, Zambia walikuta bango la 5G
-
Mashabiki hao walipokelewa kwa shangwe na watanzania ambao ni wapenzi wa klabu ya Yanga, waishio nchini Zambia huku waki-share nao taarifa mbalimbali ikiwemo la kumipga mtani wao Simba SC goli 5-1 kwenye dimba la Mkapa.

Imagine hata Zambia....Kuna bango la kichapo Cha 5 [emoji113] Kwa kolo[emoji32][emoji32]
 
Hapana mkuu.... mchezo wa soka lazima uwe na amsha amsha
Kuna uungwana kwenye soka.

Wakati german wanawaadhibu brazil, zilipofika goli saba inasemekana kuna beki alikuwa anawaambia washambuliaji "Respect to bràzil" akimaanisha goli walizofunga zinatosha na sasa tuwaheshimu wapinzani wetu hata kama tunaweza kushinda goli zingine. Huo ulikuwa uungwana kwenye soka.

Uugwana ni sehemu ya soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…