Atafikishwa na MwarabuHata ukijibu kinyonge, leo utafika nakwambia 🤣🤣🤣🤣🤣
Lkn sio Kwa Simba vs YangaKuna uungwana kwenye soka.
Wakati german wanawaadhibu brazil, zilipofika goli saba inasemekana kuna beki alikuwa anawaambia washambuliaji "Respect to bràzil" akimaanisha goli walizofunga zinatosha na sasa tuwaheshimu wapinzani wetu hata kama tunaweza kushinda goli zingine. Huo ulikuwa uungwana kwenye soka.
Uugwana ni sehemu ya soka.
Ndio tabia ya muhindi.....makinika ...utakula kitu kizitoUtopolo bwana mnajifariji na 5g, mnajua mnaenda kutalii tu huko ndo maana. Kwanza embu chekin odds mlizopewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2954211
Sio kwa Yanga. Ushawahi ona wapi hapa East Africa tu timu iliyoweka mabango baada ya ushindi?Lkn sio Kwa Simba vs Yanga
5 za 2012 haikuwa reality?Achana na historia .... we're talking about reality
Kwamba kutangaza matokeo kwenye mabango ya biashara ni ubunifu ambao tangu kuanzishwa kwa mabango haujawahi fikiriwa mpaka Yanga walipoufanya? Ubunifu huo atakayeuiga kaiga ujinga.Ubunifu mkuu
Tuwape credit Yanga.....wameleta jambo hili jipyaKwamba kutangaza matokeo kwenye mabango ya biashara ni ubunifu ambao tangu kuanzishwa kwa mabango haujawahi fikiriwa mpaka Yanga walipoufanya? Ubunifu huo atakayeuiga kaiga ujinga.
Historia ya uongo??Hiyo ni history mkuu
Sisi ni watani lakiniKuna uungwana kwenye soka.
Wakati german wanawaadhibu brazil, zilipofika goli saba inasemekana kuna beki alikuwa anawaambia washambuliaji "Respect to bràzil" akimaanisha goli walizofunga zinatosha na sasa tuwaheshimu wapinzani wetu hata kama tunaweza kushinda goli zingine. Huo ulikuwa uungwana kwenye soka.
Uugwana ni sehemu ya soka.
Ni sawa, hawajakatazwa.Sisi ni watani lakini