Mashabiki wa Yanga walikuta bango la 5G za Simba Zambia

Utopolo bwana mnajifariji na 5g, mnajua mnaenda kutalii tu huko ndo maana. Kwanza embu chekin odds mlizopewa 🤣🤣🤣
Screenshot_20240405-081648_BeSoccer.jpg
 
Kuna uungwana kwenye soka.

Wakati german wanawaadhibu brazil, zilipofika goli saba inasemekana kuna beki alikuwa anawaambia washambuliaji "Respect to bràzil" akimaanisha goli walizofunga zinatosha na sasa tuwaheshimu wapinzani wetu hata kama tunaweza kushinda goli zingine. Huo ulikuwa uungwana kwenye soka.

Uugwana ni sehemu ya soka.
Lkn sio Kwa Simba vs Yanga
 
Ubunifu mkuu
Kwamba kutangaza matokeo kwenye mabango ya biashara ni ubunifu ambao tangu kuanzishwa kwa mabango haujawahi fikiriwa mpaka Yanga walipoufanya? Ubunifu huo atakayeuiga kaiga ujinga.
 
Tuwape credit Yanga.....wameleta jambo hili jipya
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kuna uungwana kwenye soka.

Wakati german wanawaadhibu brazil, zilipofika goli saba inasemekana kuna beki alikuwa anawaambia washambuliaji "Respect to bràzil" akimaanisha goli walizofunga zinatosha na sasa tuwaheshimu wapinzani wetu hata kama tunaweza kushinda goli zingine. Huo ulikuwa uungwana kwenye soka.

Uugwana ni sehemu ya soka.
Sisi ni watani lakini
 
Back
Top Bottom