Mashabiki wa Yanga wamecharuka baada ya kutambulishwa kwa mbadala wa Cedric Kaze

Mashabiki wa Yanga wamecharuka baada ya kutambulishwa kwa mbadala wa Cedric Kaze

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]

643782698.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]

View attachment 2685307
Wewe huna akili, Mayele ni mchezaji wa Yanga sasa wamtambulishe vipi?

Ina maana Simba inaweza kumtambulisha Inonga kweli?

Moderator mnatukosea sana kuacha takataka kama hizi kujaza jukwaa bila sababu na ndio maana manguli wa jukwaa la michezo wamelisusa hili jukwaa kwa takataka kama hizi.
 
Wakati fulani kama mtu huna cha kuandika, ni bora tu ukatulia! Kuliko kuja na mada kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom