Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda huu wanatukana tu huko mjini insta na twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]View attachment 2685307
Wewe huna akili, Mayele ni mchezaji wa Yanga sasa wamtambulishe vipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]
View attachment 2685307
Samàhani Mheshimiwa Mwenyekiti, Leo umeongea Jambo la maana na nakuhakikishia ulinzi.Kama mwenyekiti WA Simba jukwaani.
Naumizwa sana na Nyuzi zisizo Jenga, za kuoshambulia timu pinzani.
JITAHIDINI kuandika Nyuzi ZENYE kujenga zowape faida WANAO zisoma.
MNAWADHALILISHA MASHABIKI WA SIMBA WENYE AKILI NYINGI.