Mashabiki wa Yanga watakaoishangilia As Vita kukamatwa kwa kukosa uzalendo..

Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo

Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
Hivi ni lazima kushabikia timu ya nyumbani? Kama ni hivyo kiingilio kiwe bure. Siwezi kutoa pesa halafu unipangie timu ya kushabikia. Wanaohimiza watu wawe wazalendo ndiyo hao wanakula national cake pekee yao. Mtu akiniambia mambo ya uzalendo huwa namchukulia tahira au kichaa fulani hivi.
 
Write your reply...mmh hapa ni kuunga juhudi mkono tu
 
Kwa sababu rais wa tff na mkuu wa mkoa wa dsm ni simba damu au! Mbona wakati ule yanga inashiriki hayo mashindano, mashabiki wa simba waliwashangilia wageni wote waliokuja kucheza mechi za kimataifa dhidi ya yanga tena mchana kweupe na hakuna aliyechukuliwa hatua?

Halafu utawajuaje kama ni mashabiki wa yanga? Mbona kuna wakongomani wengi sana ndani ya nchi yetu! Hii taarifa itakua ni ya uwongo. All in all, ingawa mimi ni shabiki wa yanga, lakini nitaitakia ushindi hiyo simba ingawa hakuna asiyejua ya kwamba hiyo kesho watakua na mlima mrefu wa kupanda maana wale As Vita, siyo watu wa mchezo mchezo. Hawaogopi joto wale!
 
Dawa yao ni kuwazima tu kwa ushindi. Mambo mengine hayahitaji nguvu.
 
kesho njooni mnikamate kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kila la heri As vita


halafu acheni kuizushia serikali mambo ya ajabu, eti itakamata mashabiki wa Yanga?? [emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣 Mkia Fc mbona mnateseka...

Kipigo kipo palepale[emoji851][emoji851]


Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
 
Hakika mkuu nitakuwa pamoja nawe pale Centro tukishangilia kwa pamoja ushindi wa As Vita

CC Zero IQ
 
kesho njooni mnikamate kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kila la heri As vita


halafu acheni kuizushia serikali mambo ya ajabu, eti itakamata mashabiki wa Yanga?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ni lazima wewe kwenda uwanjani wakati timu yako haichezi taifa?? Si bora upande chaula express uwahi IRINGA ushangilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…