to be
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 229
- 261
UongoSerikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo
Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
Sent using Jamii Forums mobile app