shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Habari wadau.
Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar.
Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za Kagoma.
Kwasasa ningewashauri nyie utopolo mkiongozwa na laban og .mjaribu kujikita na timu yenu kuliko kuhangaika na mnyama maana kinachofuata ni kupata aibu.
ENYI UTOPOLO NANI ALIYE WAROGA