Mashabiki wa Yose Mourhinio tumerudi!

Mashabiki wa Yose Mourhinio tumerudi!

Upo kama mimi ingawa mm ni chelsea damu ila alipohamia man u sijakosa game yoyote ya man u sasa nipo totenham
Nimezurura naye akiwa Intermillan, Real Madrid, Chelsea, Man Utd na gemu yake ya kwanza tu akiwa kocha mkuu wa Tottenham Hotspur tayari nilishatimba naye uwanjani kushuhudia Bingwa wa mbinu za ushindi akishinda 3-1 ugenini dhidi ya wagonga nyundo wa London "West Harm Utd"
 
Tayari London kunogile, west ham kanyw mvinyo wa José, bado Bayern Munich' zamu yake, kama tulivyosema chupavya mvinyo imekuja na mengi ladha halisi ya Mpira, mbwembwe za Mpira, vijembe vya mpira na zaidi ya yote ufundi wa mpira. Jose ni zaidi ya special one na sisi mashabiki wake ni zaidi ya timu tunampenda na kuheshimu talanta zake. Duniani kote kuna kocha mmoja tu naye ni the special one
 
Hujamalizia, kocha mmoja tu anayehama na mashabiki.
 
Back
Top Bottom