John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na wewe mkuu KANYIMBI ila samahani user name yako inafanana na kijijini kwetu aisee 😀😀Mwamuzi wa mechi ya Simba naona kama ameonewa tu, Lile kosa la Ofside ya Kagere aliyestahiki kupewa adhabu ni mshika kibendera (Mwamuzi msaidizi No-2) sio refa wa kati.
Mwamuzi wa mechi ya Simba naona kama ameonewa tu, Lile kosa la Ofside ya Kagere aliyestahiki kupewa adhabu ni mshika kibendera (Mwamuzi msaidizi No-2) sio refa wa kati.
Mechi ya Simba Vs Mbeya Kwanza haijajadiliwa hapo. Aliyefungiwa ni mwamuzi aliyetoa Penati isiyokuwepo Simba Vs Prison.Mwamuzi wa mechi ya Simba naona kama ameonewa tu, Lile kosa la Ofside ya Kagere aliyestahiki kupewa adhabu ni mshika kibendera (Mwamuzi msaidizi No-2) sio refa wa kati.
Kosa ilikuwa ni mwamuzi kuwapa simba penati. Offside ilikuwa ni simba vs Mbeya kwanza. Msichanganye mambo.Mwamuzi wa mechi ya Simba naona kama ameonewa tu, Lile kosa la Ofside ya Kagere aliyestahiki kupewa adhabu ni mshika kibendera (Mwamuzi msaidizi No-2) sio refa wa kati.
Kabla hata ya ujio wa VAR mbona miaka yote hawajashughulikia hayo mambo.VAR ya nini ili hali kuna mambo ya msingi ya kushughulikia kama nchi Umeme, Afya, Maji.
Kwa hizi serikali zenye kung'ang'ania madaraka hata wasiposhughulikia VAR haitamaliza hizo changamoto.Wewe unaona hayo matatizo yameisha?