Mashabiki wakiona vichuchu wanapata raha - Linah

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa anafanya makusudi kuvaa nguo za nusu utupu 'fupi' akiwa kwenye show ili aweze kuwapagawisha watoto wa kiume walioko katika tamasha ambalo anashiriki

Linah.jpg

Linah amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa kijamii facebook wa EATV kila Jumatano kuanzia majira ya saa 8:00 mchana hadi 10:00 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki na Kati.

"Mashabiki zangu wengi ni watoto wa kiume hivyo wakiona vichuchu vimesimama wanapata raha sana, muda mwingine nawatega kwa mavazi kwenye 'show' ili waburudike hivyo siwezi kubadili mavazi yangu kwa sababu mimi ni msanii ila ikitokea natakiwa kwenda sehemu ya kuvaa mavazi marefu ntafanya sina jinsi", amesema Linah.

Kwa upande mwingine, Ndege Mnana amesema wakati mwingine huwa anapata wakati mgumu kutokana na mavazi yake akiwa jukwaani kwani akimuuita mwanaume wa kucheza nae huwa anang'ang'aniwa mpaka kupelekea kukosa uhuru na ujasiri.

Chanzo: EATV
 
View attachment 703046

Na akifungiwa asije sema anaonewa mala oooh nategemewa Mimi ndio baba Mimi ndio mama,kama anabanwa kuwapagawisha jukwaani kwa nusu utupu wake akajipange kwa macheni kuwapagawisha zaidi kwa Huduma zake.
 
Kumbe anafanya makusudi ili wapate raha mashabiki zake wa kiume, basi ni heri akawa anawapa mchezo jukwaani bila shaka atawafurahisha sana tu, asiwaoneshe vichuchu tu
 
Na wasanii wa kiume sijui wafanya nini kuwapagawisha mashabiki wa kike
 
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa anafanya makusudi kuvaa nguo za nusu utupu 'fupi' akiwa kwenye show ili aweze kuwapagawisha watoto wa kiume walioko katika tamasha ambalo anashiriki

View attachment 703046

Linah amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa kijamii facebook wa EATV kila Jumatano kuanzia majira ya saa 8:00 mchana hadi 10:00 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki na Kati.

"Mashabiki zangu wengi ni watoto wa kiume hivyo wakiona vichuchu vimesimama wanapata raha sana, muda mwingine nawatega kwa mavazi kwenye 'show' ili waburudike hivyo siwezi kubadili mavazi yangu kwa sababu mimi ni msanii ila ikitokea natakiwa kwenda sehemu ya kuvaa mavazi marefu ntafanya sina jinsi", amesema Linah.

Kwa upande mwingine, Ndege Mnana amesema wakati mwingine huwa anapata wakati mgumu kutokana na mavazi yake akiwa jukwaani kwani akimuuita mwanaume wa kucheza nae huwa anang'ang'aniwa mpaka kupelekea kukosa uhuru na ujasiri.

Chanzo: EATV

Naunga mkono hoja,kama hataki msanii wa kike avae vinguo vya mitego kwenye sgow basi aende kwenye show za kina Bahati bukuku full vitenge...
 
Anaenda kupagawisha kwa kupandisha watu nyege badala ya kuimba na kucheza vizuri!!! Hii ni aibu sijui Shonza yuko likizo.
 
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa anafanya makusudi kuvaa nguo za nusu utupu 'fupi' akiwa kwenye show ili aweze kuwapagawisha watoto wa kiume walioko katika tamasha ambalo anashiriki

View attachment 703046

Linah amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa kijamii facebook wa EATV kila Jumatano kuanzia majira ya saa 8:00 mchana hadi 10:00 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki na Kati.

"Mashabiki zangu wengi ni watoto wa kiume hivyo wakiona vichuchu vimesimama wanapata raha sana, muda mwingine nawatega kwa mavazi kwenye 'show' ili waburudike hivyo siwezi kubadili mavazi yangu kwa sababu mimi ni msanii ila ikitokea natakiwa kwenda sehemu ya kuvaa mavazi marefu ntafanya sina jinsi", amesema Linah.

Kwa upande mwingine, Ndege Mnana amesema wakati mwingine huwa anapata wakati mgumu kutokana na mavazi yake akiwa jukwaani kwani akimuuita mwanaume wa kucheza nae huwa anang'ang'aniwa mpaka kupelekea kukosa uhuru na ujasiri.

Chanzo: EATV

Na kwa ambaye uwa unanikela kuona chchu zako je maana unanionyesha me bila kuzihitaji na ni mida ambao si mwafaka kuziona?
 
Lakini huyu dada yupo vizuri sekta zote za nje
 
Back
Top Bottom