anhaa ,kumbe unamzungumzia SIMBAA rais wa wasafiiii.
Ulitakiwa utoe hoja hizi kama mhudhuriaji. Mzee umesimuliwa tu tayari umeanzisha uzi, je ungelipiwa kiingilio si ingekuwa balaa.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Mashabiki wengi waliofulika kwenye show ya jana dar ambayo ilikuwa na mastaa wengi mmoja kutoka USA na SA pamoja na na wale wa hapa bongo kama v money, dimond, weus pamoja navy kenzo watu waliohudhulia wanadai ile show ilikuwa mbovu sana haijapata tokea
Shabiki mmoja anadai kuna wasanii walikua wanalazimisha kujifanya kupiga show kama wako mbele wakati hawawez kitu kama hicho afu kitu kingine baadh yawatu wanalalama mkata kiuno ile show aliiharibu sana
Malalamiko ni mengi sana kwakweli
Watu wanadai show ilikuwa na promo kubwa lakin yenyewe ikawa mbovu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae
Hivi team kiba bado mpo tu jamaniii,maana naona mmetawanyika kama nyumbu,mara wengine mmeenda kwa DARASSA wengine mkaona msepe na bwana BARAKA PRINCE wengine mkaona mfe na jahazi tu maana vita ya CHIBU DANGOTE HAIKUWAHI MUACHA MTU SALAMA KABISAAAAman iwe nanyi wapendwa katika bwana