Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
waambie wachape kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki yangu hapo ni ipiSimba ndio Main point.
Okay tumekuelewa braza[emoji23][emoji23][emoji23]
ila punguza Chuki binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Majungu gan mkuu wakati wadau wanalalamika ubovu wa showTeam kibakuli bana hamuachi majungu
Wewe umeona chuki yangu hapo ni ipiKumbe anae tupa habari nae kapewa habari. !!
Chuki ugonjwa mbaya sana
Wewe umejuaji kama sikuhudhuria ile showUlitakiwa utoe hoja hizi kama mhudhuriaji. Mzee umesimuliwa tu tayari umeanzisha uzi, je ungelipiwa kiingilio si ingekuwa balaa.
maneno ya kiswahili
Mnyama Elephant hakupewa hili dili kwa sababu kachuja.Ilikua mbovu kweli
Kama sio future kuwepo ndo ingekua mbovu zaidi
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu