Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
NAJITAHIDI KUKUFANYA UONEKANE BIBI BORA MAANA WAZEE WENZIO WANAJIHESHIMUUnajitahidi sana kutafuta attention kwangu but nah shosti huna jipya kama kidomo cha chuchunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAJITAHIDI KUKUFANYA UONEKANE BIBI BORA MAANA WAZEE WENZIO WANAJIHESHIMUUnajitahidi sana kutafuta attention kwangu but nah shosti huna jipya kama kidomo cha chuchunge
Kwani si kweli ana umri mkubwa kumzidi?Sasa hapo kamdhalilishaje?Wanawake wengine akili akunaga.diamondi alivyomdhalilisha na kumsema vibaya mara mkubwa kiumri mara nn leo anajikomba. Asubiri akiondoka.
Yo! I don’t care what anybody says. Zari is the truth. How old is she now? 39/40/41?
She makes 20-some year old girls look like dirt.
What red-blooded man wouldn’t want to smash that...let alone fantasize about it?
Hahahahaa....GTFOH.
Ila, hao madogo wa kiume wenye mabegi ya mgongoni ni aje? Ni washabiki wake au ma blogger au both?
Plus kina esma kumnanga eti anapenda show off...nakumbuka tuliambiwa tanasha yupo simple Hana show off za kijinga anakaa kwenye mansion mbezi lkn hajawahi kumuonesha mtu.....hao ndio watandale bwana wanasifia chochote kinachofanywa na ndugu yao. Kiwe kibaya au kizuriWanawake wengine akili akunaga.diamondi alivyomdhalilisha na kumsema vibaya mara mkubwa kiumri mara nn leo anajikomba. Asubiri akiondoka.
KabisaaaPlus kina esma kumnanga eti anapenda show off...nakumbuka tuliambiwa tanasha yupo simple Hana show off za kijinga anakaa kwenye mansion mbezi lkn hajawahi kumuonesha mtu.....hao ndio watandale bwana wanasifia chochote kinachofanywa na ndugu yao. Kiwe kibaya au kizuri
The more man tries to make life simple, the more it becomes complicated. However, for these people of the Kalahari desert every day can be Sunday.Nilichogundua ni kwamba Wanaume wengi wa Kiafrika hawajui sex, maneno mengi tu, hivi kama kweli unajua sex unawezaje kutaka kulala na Mwanamke wa miaka 40 ? I mean, labda muwe mmezeeka wote na mko pamoja miaka yote hiyo hapo sawa au labda kuna kitu unataka kwake mbali na sex labda mkwanja kama anao au akupe maconnection lkn kama unataka tu sex halafu umtokee Mwanamke Mzee kiasi hicho, ni sex gani utapata ? Hata biology tu inakataa ,ukitaka sex tafuta demu 20 's amezidi sana late 20's lkn vinginevyo mpaka 26, ulishaona Hollywood actor Mwanaume hata Mzee anatoka na mwanamke miaka 40 ? Wote wanachukuwa totos dogodogo 20 's hapo, ...
Idrisa Elba huyo na mtoto mbichi dadadeki, ...
View attachment 1626138a
Yuko overrated tuZari ni mwanamke asiyejitambua, binafsi naona Mobetto anauwezo wa kufikiri kuliko Zari.
Sielewi kwa nini watu wanamchukulia yupo smart kichwani.
NAJITAHIDI KUKUFANYA UONEKANE BIBI BORA MAANA WAZEE WENZIO WANAJIHESHIMU
Nini tatizo kwani?Hivi watanzania ni washamba wa asili au ni wajinga tu wasio na la kufanya kushabikia vitu na kupenda kupoteza muda?
Duh! Seriously?Nilichogundua ni kwamba Wanaume wengi wa Kiafrika hawajui sex, maneno mengi tu, hivi kama kweli unajua sex unawezaje kutaka kulala na Mwanamke wa miaka 40 ? I mean, labda muwe mmezeeka wote na mko pamoja miaka yote hiyo hapo sawa au labda kuna kitu unataka kwake mbali na sex labda mkwanja kama anao au akupe maconnection lkn kama unataka tu sex halafu umtokee Mwanamke Mzee kiasi hicho, ni sex gani utapata ? Hata biology tu inakataa ,ukitaka sex tafuta demu 20 's amezidi sana late 20's lkn vinginevyo mpaka 26, ulishaona Hollywood actor Mwanaume hata Mzee anatoka na mwanamke miaka 40 ? Wote wanachukuwa totos dogodogo 20 's hapo, ...
Idrisa Elba huyo na mtoto mbichi dadadeki, ...
View attachment 1626138a
Samehe saba mala sabini. Kinyongo , chuki ja kutosamehe havisaidii zaidi ya kujiweka kifungoni na uchunguWanawake wengine akili akunaga.diamondi alivyomdhalilisha na kumsema vibaya mara mkubwa kiumri mara nn leo anajikomba. Asubiri akiondoka.
Duh! Seriously?
Uko wapi wewe? Ushawahi toka hata nje ya Tanzania, achilia mbali Afrika?
Ashton Kutcher na Demi Moore mbona walikuwa wanandoa licha ya kuzidiana kiumri....
Na mwanamke wa miaka 40 ana tatizo gani?
Ni ukosefu wa akili tu,hakuna lingineKama kuna jambo sijawahi kulielewa, ni mapenzi ya fans eti mpaka mtu anafunga safari kwenda airport, sijui mlimani city kumuona mtu. Bora hata ingekuwa show ningeelewa. Yani hata kama nina muda wa kutupa sidhani kama naweza kuwa na mahaba juu ya mtu kiasi hicho.
Nani aliyekwambia kuwa sex na mwanamke wa miaka 40 si tamu? Ushawahi kulala na wanawake wangapi wenye umri wa 40+?Mwanamke wa 40 hana tatizo lolote kwanza ni wazuri kimaongezi kwa kuwa wana uzoefu hata financially wanakuwa wako vizuri hivyo inategemea unataka nini kwa huyo Mwanamke na pia uwezo wako kiuchumi, kama ni ni sex hakuna substitute ya young chick, lkn kila mtu na test yake binafsi kwa umri kama wa Mondi 31 na mjwanja na fame yote nisingelala na Mwanamke 40‘s labda kama angekuwa na michongo, lkn 40‘s keshazaa watoto 5 au zaidi, WTF?
Nani aliyekwambia kuwa sex na mwanamke wa miaka 40 si tamu? Ushawahi kulala na wanawake wangapi wenye umri wa 40+?
Au ni assumptions zako tu?
Emmanuel Macron, unamjua huyo? Ni Rais wa Ufaransa. Moja ya mataifa makubwa duniani.
Mkewe ana miaka 67 huku yeye Emmanuel ana miaka 42.
Fanya mahesabu mwenyewe uone tofauti yao ya ki-miaka.
Pia kuna Priyanka Chopra na Nick Jonas...wa Google uone.
Analo alipewa na manyau nyau long time sana .Diamond naye ana joka la mahela?
Ila hao ndugu zake diamond daaah Ni wanafiki wa kiwango Cha standard gaugePlus kina esma kumnanga eti anapenda show off...nakumbuka tuliambiwa tanasha yupo simple Hana show off za kijinga anakaa kwenye mansion mbezi lkn hajawahi kumuonesha mtu.....hao ndio watandale bwana wanasifia chochote kinachofanywa na ndugu yao. Kiwe kibaya au kizuri
Naona unafanya assumptions tu!Mwanamke 40 keshaingia Meno Pause sex gani hiyo utakuwa nayo ? Hawezi hata kugeuka akifanya hivi mgongo unauma ukimwambia hivi mara kukavu subiri stress ziishe, halafu wengi wanakuwa wanene wakishavuka 35, lkn labda kila mtu na ladha yake, BTW Macron ni gay anazuga tu na huyo Mwanamke kwa maana bado Ma gay wana ishu ya kukubalika hasa kwenye Uraisi, lkn Macron ni gay, ...