Mashabiki wamechoka kuumizwa na ushindi, wanataka furaha

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Rejea mada tajwa hapo juu.

Mashabiki wa simba sc, wanalunyasi wamechoshwa na unbeaten 26 za robertinho.

Kwanini hawataki ushindi huu?

1. Jina la utani la Lunyasi tafsiri yake asilia ni timu inayocheza mpira kwenye nyasi za uwanja, sio kimo cha mbuzi au ngamia.

2. Falsafa ya simba ni pira biriani sio pira matokeo, wanasimba hawakulalamika kutolewa na kaizer (2021) chiefs, orlando pirates (2022) au mazembe (2019) bali walifurahia sambusa za akina derosa na uchebe.

3. Timu inaonekana ina wachezaji wenye profile kubwa sana kiushindani na lakini style ya uchezaji inalimit profile yao, mfano kuna wakat mechi ya mkondo wa pili dhidi ya power dynamos wachezaji waliamua kukiwasha na goli likapatikana baada ya hapo wakarud kwenye mfumo wa kocha.

Ushauri wangu
1. Kocha apewe chake mapema ili akatafute changamoto nyingine sio kusubiri aibu ndipo uamuzi ufanyike.

2. Management ya timu iangalie sana wachezaji, huenda zile tuhuma za uchawi ni za kweli maana haiwezekani gk wa profile kubwa kama lacred afungwe magoli mawili ya aina moja kirahisi namna ile.

3. Management ya timu iongee na wachezaji maana haiwezekani bwana andy boyeli aangaliwe tu tangu anakokota mpira mpk anafunga, huenda kuna mgomo wa wachezaji.

4. Management iwe makini sana na hao wanaoitwa senior players ndani ya timu, huenda kuna kitu wanakitaka hivyo wanaifelisha timu kwa makusudi.

5. Maoni ya wadau yasikilizwe, wana hoja, yakifanyiwa kazi timu itachangamka siku hiyo hiyo.

#"free simba sc from papatu papatu"
 
Ili UCHEZE Mpira Biriyani/ LUNYASI.

Ni Lazima Uwe na wachezaji wenye UWEZO Mkubwa WA Kupiga pass.

Mfano Simba ya Biriani ilikuwa.

1. Wawa, Nyoni,
2.Thadeo Lwanga, Mkude.
3. Bwalya.
4. Miquisson.
5. Chama nk

Leo simba Ina wachezaji wanaopoteza mpira Kila Dakika.

1.mzamiru.
2. KIBU.
3. Kanute.
4. Saido.
Nk
 
Rejea mada tajwa hapo juu.

Mashabiki wa simba sc, wanalunyasi wamechoshwa na unbeaten 26 za robertinho.

Kwanini hawataki ushindi huu?

1. Jina la utani la Lunyasi tafsiri yake asilia ni timu inayocheza mpira kwenye nyasi za uwanja, sio kimo cha mbuzi au ngamia.

2. Falsafa ya simba ni pira biriani sio pira matokeo, wanasimba hawakulalamika kutolewa na kaizer (2021) chiefs, orlando pirates (2022) au mazembe (2019) bali walifurahia sambusa za akina derosa na uchebe.

3. Timu inaonekana ina wachezaji wenye profile kubwa sana kiushindani na lakini style ya uchezaji inalimit profile yao, mfano kuna wakat mechi ya mkondo wa pili dhidi ya power dynamos wachezaji waliamua kukiwasha na goli likapatikana baada ya hapo wakarud kwenye mfumo wa kocha.

Ushauri wangu
1. Kocha apewe chake mapema ili akatafute changamoto nyingine sio kusubiri aibu ndipo uamuzi ufanyike.

2. Management ya timu iangalie sana wachezaji, huenda zile tuhuma za uchawi ni za kweli maana haiwezekani gk wa profile kubwa kama lacred afungwe magoli mawili ya aina moja kirahisi namna ile.

3. Management ya timu iongee na wachezaji maana haiwezekani bwana andy boyeli aangaliwe tu tangu anakokota mpira mpk anafunga, huenda kuna mgomo wa wachezaji.

4. Management iwe makini sana na hao wanaoitwa senior players ndani ya timu, huenda kuna kitu wanakitaka hivyo wanaifelisha timu kwa makusudi.

5. Maoni ya wadau yasikilizwe, wana hoja, yakifanyiwa kazi timu itachangamka siku hiyo hiyo.

#"free simba sc from papatu papatu"
Mnatafuta mchawi,ahaaaaa
 
Back
Top Bottom