Mashabiki wamrushia chupi shilole akiwa jukwaani

Mashabiki wamrushia chupi shilole akiwa jukwaani

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mashabiki walimrushia msanii Shilole chupi akiwa jukwaani huku wakimtaka aivae chupi hiyo, baada ya kumuona alivyovaa ilikuwa sio

Hiyo kuna mtu alikuwa ameplan kumfanyia hivyo maana haiwezekani mtu kuvua chupi yake na kuirusha jukwaani otherwise awe mvuta bangi.

Pole yake kwa kupewa kiki!!!
 
Ujinga wa shilole au waliomtupia chupi?
Aliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!
Ila shilole angetaka kumnyima usingizi angetangaza mkwara wa kizaramo kuwa ile chupi anaipeleka kwa mganga wake kuifanyia mambo!
 
Inawezekana halisahau kuvaa chupi so walikuwa wanamkumbusha
 
Next time afanye show bila chupi kuondoa utata kabisa.
 
Aliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!
Ila shilole angetaka kumnyima usingizi angetangaza mkwara wa kizaramo kuwa ile chupi anaipeleka kwa mganga wake kuifanyia mambo!
Du...kumbe aliyemrushia aliivua yeye?!kwa hiyo akabaki free
 
Back
Top Bottom