Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Mashabiki walimrushia msanii Shilole chupi akiwa jukwaani huku wakimtaka aivae chupi hiyo, baada ya kumuona alivyovaa ilikuwa sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji23] [emoji13]Ujinga tu huo
Ujinga wa shilole au waliomtupia chupi?Ujinga tu huo
Aliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!Ujinga wa shilole au waliomtupia chupi?
Du...kumbe aliyemrushia aliivua yeye?!kwa hiyo akabaki freeAliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!
Ila shilole angetaka kumnyima usingizi angetangaza mkwara wa kizaramo kuwa ile chupi anaipeleka kwa mganga wake kuifanyia mambo!