Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
[emoji12] [emoji23] [emoji13]Ujinga tu huo
Ujinga wa shilole au waliomtupia chupi?Ujinga tu huo
Aliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!Ujinga wa shilole au waliomtupia chupi?
Du...kumbe aliyemrushia aliivua yeye?!kwa hiyo akabaki freeAliye vua chupi na kuirusha na aliyeonesha chupi mpka wakaiona haifai na kumrushia!
Ila shilole angetaka kumnyima usingizi angetangaza mkwara wa kizaramo kuwa ile chupi anaipeleka kwa mganga wake kuifanyia mambo!