Mashabiki wamvaa Irene Paul, wasusia movie zake

Jamani hyo sura yake hapana aisee nilimuona nika choka. Hafu ndo anajifanya Angelina Jolie na ile sura.

hiyo sura anajifanyisha ili afanane na Angelina Jolie koh koh atabinua mno mdomo,Angelina hafanani nae hata kidogoo
 
Hivi mshaona anavyowajibu wanaokomenti kwenye page yake weeee mkali huyuu hhhhaaaa,,,na biashara yakeee
 
Mie nakubaliana naye kuwa hana sababu ya kuangalia movie za bongo kwa sababu ni upuuzi na yeye anachokifanya ni upuuzi pia. Nakubaliana na mashabiki kuwa ni lazima upuuzi ukomeshwe.
 
Hivi mshaona anavyowajibu wanaokomenti kwenye page yake weeee mkali huyuu hhhhaaaa,,,na biashara yakeee

Mkavu hatar, anajifanya hajali, ila kachambwa jana walahi nahis alikuwa analia sio vichambo vile
 
Mie nakubaliana naye kuwa hana sababu ya kuangalia movie za bongo kwa sababu ni upuuzi na yeye anachokifanya ni upuuzi pia. Nakubaliana na mashabiki kuwa ni lazima upuuzi ukomeshwe.

Upuuzi huo huo ndo umempa tuzo
 
Hiyo tuzo walikosa wakumpa..maana huyu dada hajuhi kuigiza hata kodogo..sehemu ya kuongea kwa upole yeye anaongea kwa ukali hadi mishipa inamtoka...
 
Kaongea ukweli wake...

Yes, ila angeangalia impact kwa jamii, ina maana anavyosema haangalia ndo tumuone mzungu sana au? Kama na sisi tukisema hatuangalii atakula wapi? Bora hayo maneno angesema lady Jaydee mwanamuzik lakini sio yeye, hakufanya vyema ata kama kwel haangaliii
 
hiyo sura anajifanyisha ili afanane na Angelina Jolie koh koh atabinua mno mdomo,Angelina hafanani nae hata kidogoo

Asijifanyishe ka Angelina Jolie mdomo umezidi off side aisee na mashavu yamemshuka.
 
Mbona mnamuhukumu kwa kusema ukweli jamani, hivi mama mpika gongo akisema yeye na watoto wake hawanywi gongo mtamhoji ni kwa nini hanywi ? yeye anapika ili wenye maini ya kuunguza wajinome familia ibadili mboga maisha yaende.

Na kama ukimkuta mama mpika keki ukamuuliza kama wanawe huwa wanakula keki, nadhani mnajua atajibu nini.
 
Ninapoongea kuhusu Bongo Movie nalazimika kuweka akiba manake wakati mwingine huwa nakuwaga nao hawa jamaa but you know what?

Trust me; ni kv tu Irene ameongea hadharani lakini wengi wao miongoni mwao ndo hivyo hivyo!!! Kulikuwa na siku nikiwa na hao wenyewe, kuna mtu akaitaja movie moja... nimesahau jina na ingawaje siijui lakini ni maarufu sana masikioni! Kitu ambacho kilinishangaza, hata miongoni mwao wengine walikuwa hawajaiangalia... na hiyo movie ni ya kitambo!! Wengi wao ni kama akina sie tu; wakizigumia kwenye TV ndo wanaziangalia!
 
Tatizo ni kwavile tu ame-declare hadharani lakini si yeye peke yake... I mean wapo kibao tu among themselves, ni kama huyo Irene tu... hawaaangalii!
 
Hiyo tuzo walikosa wakumpa..maana huyu dada hajuhi kuigiza hata kodogo..sehemu ya kuongea kwa upole yeye anaongea kwa ukali hadi mishipa inamtoka...
Kosa la Director hilo... inawezekana yeye ndivyo alivyoumbwa sasa director ndie anatakiwa ku-control and maintain emotions za scene husika!
 
Kosa la Director hilo... inawezekana yeye ndivyo alivyoumbwa sasa director ndie anatakiwa ku-control and maintain emotions za scene husika!

Ni kweli character traits ya irene ni kama yeye alivyo, yani anavyopayuka na kupanick, ndivyo alivyo, apo ni kazi ya director kuangalia je cast ninayoitaka inaendana na huyu mtu? Tatizo ma director's hawaangalii character traits, wanaangalia umaarufu tu na sura nzuri ndio maana sometimes muigizaji anaonekana mbaya kumbe director ndio hakufanya casting vzur,

wenzetu kule hollywood wana uwezo wa kumbadilisha mtu totally, huku bado hatuna training ya hivyo, wenzetu wana training ya nguvu kuhusu characterization ,yani unakuta warumi watu wamemzoea mtu mbea mbea ila wenyewe wana uwezo wa kunibadilisha akili na attitude completely kuwa mtu wanaomtaka wao kupitia trianing
 
Wataisoma namba, yani apa kama wamenifufua upyaa nianze kazi kwa kasi, kuna watu wanashilikiana kunifanyia fitna, mbona watachora hewani mwaka huu

binamu matusi yanakuponza...!!
yani we ni short tempered
 
Mpwa unaonaje ukipumzika kuongea habari za ubuyu ukawaachia kina Dinazarde angalau kwa mwezi mmoja halafu ukahamia kwenye mambo yenye mbolea?! Hapa ukiniambia una digrii mbili au hata ukinidanganya kwamba una digrii tatu za Malaysia na moja ya Honduras, kwa mbaaaaaaaali, naweza kukuamini!!!

Kibongobongo casting ni tatizo na ndio maana hata mimi mara kadhaa nishasema hapa kwamba, kwa waigizaji hawa hawa waliopo, endapo wanapatikana ma-Director wazuri basi wanaweza kufanya mambo na kila mtu asiamini! Si tu kwamba waongozaji wetu casting inawapa taabu lakini hata kuongoza kwenyewe ni full mgogoro!
 
Tatizo ni kwavile tu ame-declare hadharani lakini si yeye peke yake... I mean wapo kibao tu among themselves, ni kama huyo Irene tu... hawaaangalii!

Tatizo sio hilo, tatizo maneno yake hayakuwa ya busara, yeye ni msanii hatakiwi kutoa kauli kama ile wakati na yeye ni muigizaji, na sisi tukisema hatutak bongo movie angepata wapi huo ujasir wa kuongea kwenye Tv? Its not wise at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…