Ni kweli character traits ya irene ni kama yeye alivyo, yani anavyopayuka na kupanick, ndivyo alivyo, apo ni kazi ya director kuangalia je cast ninayoitaka inaendana na huyu mtu? Tatizo ma director's hawaangalii character traits, wanaangalia umaarufu tu na sura nzuri ndio maana sometimes muigizaji anaonekana mbaya kumbe director ndio hakufanya casting vzur,
wenzetu kule hollywood wana uwezo wa kumbadilisha mtu totally, huku bado hatuna training ya hivyo, wenzetu wana training ya nguvu kuhusu characterization ,yani unakuta warumi watu wamemzoea mtu mbea mbea ila wenyewe wana uwezo wa kunibadilisha akili na attitude completely kuwa mtu wanaomtaka wao kupitia trianing