warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
-
- #41
Mpwa unaonaje ukipumzika kuongea habari za ubuyu ukawaachia kina Dinazarde angalau kwa mwezi mmoja halafu ukahamia kwenye mambo yenye mbolea?! Hapa ukiniambia una digrii mbili au hata ukinidanganya kwamba una digrii tatu za Malaysia na moja ya Honduras, kwa mbaaaaaaaali, naweza kukuamini!!!
Kibongobongo casting ni tatizo na ndio maana hata mimi mara kadhaa nishasema hapa kwamba, kwa waigizaji hawa hawa waliopo, endapo wanapatikana ma-Director wazuri basi wanaweza kufanya mambo na kila mtu asiamini! Si tu kwamba waongozaji wetu casting inawapa taabu lakini hata kuongoza kwenyewe ni full mgogoro!
AHahah ishu zenye mbolea ndo zipi? Sasa nikihama binamu si nitawapoteza mashabiki, we wabongo wanavyopenda umbea ivi leo niamie labda jukwaa la afya kule unadhan kuna mtu atakayetaka kunisikia?, nimeanzia uku ili nikusanye mashabiki then taratibu nitahamana nao kwenda kwenye topic nyingine..
Kama Ray anapewa Tuzo ya director bora, na wema sepetu anapewa tuzo ya muigizaji anayependwa, we unadhani tasnia ya filamu bongo itaendelea?, being a director is not as simple kama bongo movie wanavyodhani, labda tasnia ikivamiwa na wasomi ndio itapona vinginevyo wataendelea kumkubuka kanumba ambaye na yeye wala hakuwa wa kiwango hicho cha uigizaji wala u director
Watu hawataki kusoma, bongo movie nzima hakuna aliyesomea film making zaidi ya kukwambia walisoma sanaa bagamoyo ya siku mbili. Kuna hawa jamaa wanajiita timamu, akina timoth conrad na jackson kibirig na john kalaghe,atlest jamaa wana vitu sema tu hawana majina kihivyo ,waliobaki wote shombo tu
Last edited by a moderator: