Mashabiki wamvaa Irene Paul, wasusia movie zake

Mashabiki wamvaa Irene Paul, wasusia movie zake

Mpwa unaonaje ukipumzika kuongea habari za ubuyu ukawaachia kina Dinazarde angalau kwa mwezi mmoja halafu ukahamia kwenye mambo yenye mbolea?! Hapa ukiniambia una digrii mbili au hata ukinidanganya kwamba una digrii tatu za Malaysia na moja ya Honduras, kwa mbaaaaaaaali, naweza kukuamini!!!

Kibongobongo casting ni tatizo na ndio maana hata mimi mara kadhaa nishasema hapa kwamba, kwa waigizaji hawa hawa waliopo, endapo wanapatikana ma-Director wazuri basi wanaweza kufanya mambo na kila mtu asiamini! Si tu kwamba waongozaji wetu casting inawapa taabu lakini hata kuongoza kwenyewe ni full mgogoro!

AHahah ishu zenye mbolea ndo zipi? Sasa nikihama binamu si nitawapoteza mashabiki, we wabongo wanavyopenda umbea ivi leo niamie labda jukwaa la afya kule unadhan kuna mtu atakayetaka kunisikia?, nimeanzia uku ili nikusanye mashabiki then taratibu nitahamana nao kwenda kwenye topic nyingine..

Kama Ray anapewa Tuzo ya director bora, na wema sepetu anapewa tuzo ya muigizaji anayependwa, we unadhani tasnia ya filamu bongo itaendelea?, being a director is not as simple kama bongo movie wanavyodhani, labda tasnia ikivamiwa na wasomi ndio itapona vinginevyo wataendelea kumkubuka kanumba ambaye na yeye wala hakuwa wa kiwango hicho cha uigizaji wala u director

Watu hawataki kusoma, bongo movie nzima hakuna aliyesomea film making zaidi ya kukwambia walisoma sanaa bagamoyo ya siku mbili. Kuna hawa jamaa wanajiita timamu, akina timoth conrad na jackson kibirig na john kalaghe,atlest jamaa wana vitu sema tu hawana majina kihivyo ,waliobaki wote shombo tu
 
Last edited by a moderator:

The late george tyson and Adam kuambiana ndio walikuwa ma director, waliobaki upuuzi mtupu, labda akina timoth na kibirigi na john kalage, wengine warudi shule tu.
 
Last edited by a moderator:
Warumi hiyo kusoma sanaa bagamoyo kwa siku mbili hiyo semina au nini?kiukweli wana safari ndefu sana hawa bongo movie ingawa wenyewe wanadhani wamefika kumbe hata robo ya safari hawajaipata wengi wana utundu tu ila taaluma hawana.
 
Hiyo siku mbili wenyewe wanakwambia ndo wamesoma tayari, na wanakuwa ma producer na ma director apo apo na script wanaandika
 
Kosa la Director hilo... inawezekana yeye ndivyo alivyoumbwa sasa director ndie anatakiwa ku-control and maintain emotions za scene husika!

Bado tuna safar ndefu sana, hatuna ma director, hatuna camera operaters wakueleweka wote amateurs, costume designers hatuna, hair and make up artist wakueleweka hatuna, ma production designer hamna, sound recordist wa maana hakuna,set designers hakuna, yani bado sana

Watu wanadharau vitu vidogo kama make up, set design na mambo ya costume wakati hvyo ndio vitu muhimu kwenye utengenezaji wa filamu na ndivyo vinavyoipa film uhai na kuleta hisia zinazotakikana. Yani tuna safar ndefu sana kwenye utengenezaji wa filamu
 
Tatizo sio hilo, tatizo maneno yake hayakuwa ya busara, yeye ni msanii hatakiwi kutoa kauli kama ile wakati na yeye ni muigizaji, na sisi tukisema hatutak bongo movie angepata wapi huo ujasir wa kuongea kwenye Tv? Its not wise at all
Ndo maana nikasema tatizo ni kwamba ametamka hadharani lakini hata wenzake huwa hawaangaliagi sema inakuwa siri yao na wakati mwingine wanajikuta wakiropoka wakiwa kati ya wao kwa wao!
 
AHahah ishu zenye mbolea ndo zipi? Sasa nikihama binamu si nitawapoteza mashabiki, we wabongo wanavyopenda umbea ivi leo niamie labda jukwaa la afya kule unadhan kuna mtu atakayetaka kunisikia?, nimeanzia uku ili nikusanye mashabiki then taratibu nitahamana nao kwenda kwenye topic nyingine..

Kama Ray anapewa Tuzo ya director bora, na wema sepetu anapewa tuzo ya muigizaji anayependwa, we unadhani tasnia ya filamu bongo itaendelea?, being a director is not as simple kama bongo movie wanavyodhani, labda tasnia ikivamiwa na wasomi ndio itapona vinginevyo wataendelea kumkubuka kanumba ambaye na yeye wala hakuwa wa kiwango hicho cha uigizaji wala u director

Watu hawataki kusoma, bongo movie nzima hakuna aliyesomea film making zaidi ya kukwambia walisoma sanaa bagamoyo ya siku mbili. Kuna hawa jamaa wanajiita timamu, akina timoth conrad na jackson kibirig na john kalaghe,atlest jamaa wana vitu sema tu hawana majina kihivyo ,waliobaki wote shombo tu
Bhana eh, mi hilo la Kanumba sitii neno bhana lakini, kwanza hakuna movie yake ambayo nimewahi kuiangalia mwanzo hadi mwisho... zote nazigumiaga kwenye TV na huwa siwezi kufuatilia mwanzo hadi mwisho... anayway, hata ninapokuta huto Kanumba ndie sterling mwenyewe, sioni kipya zaidi ya kukodoa kodoa macho bila sababu... sisemi sana coz' so long as wenyewe wanamkubali basi na mimi nikiulizwa best actor ambae amewahi kutokea, nami nitataja Kanumba!!!
 
Ndo maana nikasema tatizo ni kwamba ametamka hadharani lakini hata wenzake huwa hawaangaliagi sema inakuwa siri yao na wakati mwingine wanajikuta wakiropoka wakiwa kati ya wao kwa wao!

Wapo wengi tu ata hemedy aliwahi kusema, ila kwa kuwa watu wanamjua hemedy ni mtu wa aina gani haikusumbua sana
 
Bhana eh, mi hilo la Kanumba sitii neno bhana lakini, kwanza hakuna movie yake ambayo nimewahi kuiangalia mwanzo hadi mwisho... zote nazigumiaga kwenye TV na huwa siwezi kufuatilia mwanzo hadi mwisho... anayway,

hata ninapokuta huto Kanumba ndie sterling mwenyewe, sioni kipya zaidi ya kukodoa kodoa macho bila sababu... sisemi sana coz' so long as wenyewe wanamkubali basi na mimi nikiulizwa best actor ambae amewahi kutokea, nami nitataja Kanumba!!!

Kanumba alikuwa anaigiza, alikuwa hajui kuvaa uhusika, kuna huyu jamaa anaitwa TINO MUYA, jamaa anavaa uhusika mpaka unaogopa, kanumba alikuwa na mbwe mbwe tu anajua kuburudisha hadhira ila kuuvaa uhusika bado
 
Ni kweli character traits ya irene ni kama yeye alivyo, yani anavyopayuka na kupanick, ndivyo alivyo, apo ni kazi ya director kuangalia je cast ninayoitaka inaendana na huyu mtu? Tatizo ma director's hawaangalii character traits, wanaangalia umaarufu tu na sura nzuri ndio maana sometimes muigizaji anaonekana mbaya kumbe director ndio hakufanya casting vzur,

wenzetu kule hollywood wana uwezo wa kumbadilisha mtu totally, huku bado hatuna training ya hivyo, wenzetu wana training ya nguvu kuhusu characterization ,yani unakuta warumi watu wamemzoea mtu mbea mbea ila wenyewe wana uwezo wa kunibadilisha akili na attitude completely kuwa mtu wanaomtaka wao kupitia trianing

Yani hata mavazi wanajivalia ovyo ovyo!
Hata kama uwezo wa kuengage custome designer haupo lakin sio kwa kuvaa kule
 
Yani hata mavazi wanajivalia ovyo ovyo!
Hata kama uwezo wa kuengage custome designer haupo lakin sio kwa kuvaa kule

Costumes, set design, make up artist bado sana, yani sifuri
 
Hawa wasanii wetu ni shida. Katu hawajui impact ya maneno wayasemayo. Yaani hawajui kuchuja na kuangalia matokeo ya wakisemacho. Sasa wewe unajiita msanii sijui muigizaji filamu halafu bado wasema filamu za wenzako huangalii... sasa we mwenzetu wajifunzia wapi? Tukueleweje? Khaa
 
Back
Top Bottom