Unataka kunambia diamond hajawai piga show apo darlive kaka haupo seriois=serious
Ww kaka naona hufutiliagi maswala ya burudani domo ndo anaongoza record ya kuujaza huwo uwanja wa dar live kupita msanii yyt bongoAshawahi but sio kivile kubali ukatae mond mbovu kupiga show
Sisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live haweziWw kaka naona hufutiliagi maswala ya burudani domo ndo anaongoza record ya kuujaza huwo uwanja wa dar live kupita msanii yyt bongo
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!
Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!
Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa
Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa
NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa
Ebu kaangalie show kama mbili zilizopita ile ya zanzibar na zim uone kama alikuwa hapigi live bandSisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live hawezi
Mpaka tarehe 20 /12 ilikua bado kidogo tiketi kwishaMapovu yanawatoka.....wengine hawana roho mbaya kama nyie.
Nyie fanyeni show yenu kwa uhuru tu hakuna hakaewafanyia ujanja ujanja.
Ila mkae mkijua bila Darassa kuwepo kwenye show haji mtu huko.
Darasa ana nyimbo ngapi? Labda aazime za wenzake au kwa weusiWakati nyie mmeshajitangaza kwa kipindi kirefu halafu mnatoa wazo sasa? mngetoa tangazo kabla hamjaanza kutangaza show yenu ya kikundi, kuna mdau alikuwa na mpango wa kuandaa show ya Darasa pindi mtakapo sema tarehe yenu ya show mapema.
Kaenda zimbambwe kapiga live band kaenda malawi kapiga live band unataka nini tena?Sisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live hawezi
Kiba na timu yake waandae show Dar live mkesha Wa Christmas ?[emoji23] nakumbuka Mwanafa alifanya hivyo kwa Jide lakini wote walijaza
Ficha ulimbukeni wako kwa kusema kitu usichokijua.Darasa ana nyimbo ngapi? Labda aazime za wenzake au kwa weusi
Weka hapa hizo show tuzi rateKaenda zimbambwe kapiga live band kaenda malawi kapiga live band unataka nini tena?
Ww nikati ya wale wanaosemaga subiri akifilisika atakoma
Labda wewe ndio hauzijuiDarasa ana nyimbo ngapi? Labda aazime za wenzake au kwa weusi