Mashabiki wanao Mshindanisha Diamond na wasaniinwengine Wa bongo hii ndo Fursa

Mashabiki wanao Mshindanisha Diamond na wasaniinwengine Wa bongo hii ndo Fursa

Ww kaka naona hufutiliagi maswala ya burudani domo ndo anaongoza record ya kuujaza huwo uwanja wa dar live kupita msanii yyt bongo
Sisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live hawezi
 
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!

Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!

Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa

Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa

NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa
 
Sisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live hawezi
Ebu kaangalie show kama mbili zilizopita ile ya zanzibar na zim uone kama alikuwa hapigi live band
 
Mapovu yanawatoka.....wengine hawana roho mbaya kama nyie.

Nyie fanyeni show yenu kwa uhuru tu hakuna hakaewafanyia ujanja ujanja.

Ila mkae mkijua bila Darassa kuwepo kwenye show haji mtu huko.
Mpaka tarehe 20 /12 ilikua bado kidogo tiketi kwisha
Ukicheza, na wcb utaumia
 
Wakati nyie mmeshajitangaza kwa kipindi kirefu halafu mnatoa wazo sasa? mngetoa tangazo kabla hamjaanza kutangaza show yenu ya kikundi, kuna mdau alikuwa na mpango wa kuandaa show ya Darasa pindi mtakapo sema tarehe yenu ya show mapema.
Darasa ana nyimbo ngapi? Labda aazime za wenzake au kwa weusi
 
Sisemei kujaza hata kwenye mtihani unaweza ukajaza booklet hata tatu lakini ukapata marks 2 na mwngne akaja nusu akapata marks 60 kujaza anajaza ila ku perform ajifunze live band yenyew nahisi ndo anaifanyia mazoezi now kuimba live hawezi
Kaenda zimbambwe kapiga live band kaenda malawi kapiga live band unataka nini tena?

Ww nikati ya wale wanaosemaga subiri akifilisika atakoma
 
Kiba na timu yake waandae show Dar live mkesha Wa Christmas ?[emoji23] nakumbuka Mwanafa alifanya hivyo kwa Jide lakini wote walijaza

Kaka kumbuka vizur mwana FA hata hakujaza walichofanya wakapunguza had kiingilio wanafunz wa IFM wakafanya kujazana tu lkn ukwel halisi Komando jide ndo aliibuka kidedea.
 
Darasa ana nyimbo ngapi? Labda aazime za wenzake au kwa weusi
Ficha ulimbukeni wako kwa kusema kitu usichokijua.

Nyie wanaume wa mikoani ndio mnaodhani Kuwa Darassa ni chipukizi eboooooooo
 
Kifaranga kataga,mgonjwa katibu mganga,mwenye nyumba kapanga,ana zigo la kuvunja chaga hapana chezea WCB tishio kwa awamu ya tano kama anko Magu
 
Back
Top Bottom