sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Akiwa ameweka vionjo vya nyimbo zitazopatikana kwenye album yake mpya ya a boy from tandale.
Washabiki wamepagawa sana wakionyesha mzuka wa hali ya juu.
Leo ameweka nyimbo alizoimba na Lavalava na nyingine na Mbosso.
Ama kwa hakika Diamond ndio mfalme wa muziki africa kwa sasa amekosa mpinzani.
Mamillioni ya waafrica wanaisubiri kwa hamu album yake.