Mashabiki wapagawa na vionjo vya album mpya ya Diamond

Mashabiki wapagawa na vionjo vya album mpya ya Diamond

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
b470306e300c3666ac40ced8fe35cad0.jpg

Akiwa ameweka vionjo vya nyimbo zitazopatikana kwenye album yake mpya ya a boy from tandale.

Washabiki wamepagawa sana wakionyesha mzuka wa hali ya juu.

Leo ameweka nyimbo alizoimba na Lavalava na nyingine na Mbosso.

c8bd37bf11a01a70066051578ed0d389.jpg

7742bb1fbf0653c2e1fceefd056fb4b7.jpg

387e08cbc149b6c13000a4c9f526c07c.jpg

Ama kwa hakika Diamond ndio mfalme wa muziki africa kwa sasa amekosa mpinzani.

Mamillioni ya waafrica wanaisubiri kwa hamu album yake.
 
Hivi hizo za mboso sijui na lavalava sio bonus tracks kwel? Maana sijaona kwenye list kama watakuopo ndani ya album
 
basi wewe umeshajideclare kuwa ni hard fan halafu unatuletea porojo zako apa
 
Hizo screenshot mbona naona n vijana wa tandale, tandika,mbagala, buguruni, kolomije Ila sijaona hata wa Malawi/Zambia/Zimbabwe sasa unazungumzia Africa ipi ndugu
 
Hizo screenshot mbona naona n vijana wa tandale, tandika,mbagala, buguruni, kolomije Ila sijaona hata wa Malawi/Zambia/Zimbabwe sasa unazungumzia Africa ipi ndugu

album inazinduliwa nairobi watu uko ss awalali wanaingojea
 
Hizo screenshot mbona naona n vijana wa tandale, tandika,mbagala, buguruni, kolomije Ila sijaona hata wa Malawi/Zambia/Zimbabwe sasa unazungumzia Africa ipi ndugu
tuheshimu basi wakazi wa huko
sisi wenyewe ni watanzania
 
Diamond platnumz na Ali kiba nina wakubali kwa sababu ni wasanii wa Tanzania wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki, ila namkubali zaidi msanii WIZ KID.
[emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
 
Diamond platnumz na Ali kiba nina wakubali kwa sababu ni wasanii wa Tanzania wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki, ila namkubali zaidi msanii WIZ KID.
[emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]

penda vya nyumbani
 
Africa ipi unayoizungumzia?!isije Kuwa afrika Bambataa!!!
 
Back
Top Bottom