sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Me wondering[emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57]Zari cant wait?
king wako keshaolewaKing kiba ndio kila kitu
ndio mkuu."Mamillion ya waafrika wanasubiri kwa hamu album yake"?
zimeongezwa watu wamepagaawa kuskia vionjo vyakeHivi hizo za mboso sijui na lavalava sio bonus tracks kwel? Maana sijaona kwenye list kama watakuopo ndani ya album
Hizo screenshot mbona naona n vijana wa tandale, tandika,mbagala, buguruni, kolomije Ila sijaona hata wa Malawi/Zambia/Zimbabwe sasa unazungumzia Africa ipi ndugu
tuheshimu basi wakazi wa hukoHizo screenshot mbona naona n vijana wa tandale, tandika,mbagala, buguruni, kolomije Ila sijaona hata wa Malawi/Zambia/Zimbabwe sasa unazungumzia Africa ipi ndugu
Diamond platnumz na Ali kiba nina wakubali kwa sababu ni wasanii wa Tanzania wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki, ila namkubali zaidi msanii WIZ KID.
[emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]