Endeleeni kuota usingizi wa ponoSimba mmeanza kuweweseka...tulieni muipate dozi...msiwe na kiholo,bado masaa machache tu... mnatafuta ground za kujitetea mkipigwa...hahaa!!!
Tunoamba mtusindikize kuchukua point 3 hahahahMbona mmekuwa waoga sana washabiki wa simba. Yaani nyinyi hata mkifungwa mtasema kuna mchezaji wa Toto alikuwa na kadi nyeusi saba ili tu mpate points zenu za mezani.
Points zenyewe mpaka kwa hisani ya kamishina wa mchezo na board ya ligi...siku ya mechi ya Mbao refa amechezesha dakika 100 kuwatafutia ushindiTunoamba mtusindikize kuchukua point 3 hahahah
Hiyo pesa lipeni mishahara ya wachezaji wenuYanga mnajisumbua bure
Hiyo ni rushwa kama rushwa nyingine. kwenye nchi ambazo rushwa haikubaliki na ambako pia mchezo wa soka unaheshimiwa tendo kama hilo linatosha kumpeleka mtu jela na kuishusha timu ambayo imefaidika na rushwa hiyo. wanabahati kwakuwa tupo Tanzania, ila muwaambie waende wakaulize kilichompata aliyekuwa katibu mkuu wa yanga Issa Makongoro.Katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa yanga ambao wako watano kwa pamoja wameamua kuingilia mchezo wa toto Africa dhidi ya simba utakaofanyika Leo pale uwanja wa ccm kirumba, mashabiki hao wametoa sh million 30 ili toto waifunge simba na endapo watatoa sare basi wachezaji hao watapewa sh.ml 20
Chanzo :muungwana blogu Leo.
Upo nifar? Sijakuona hapa tangia ile mechi ya mbaoKwahiyo wazee wa mchangani ndio mmeanza kujijengea mazingira ili mkifungwa iwe 'mlilijua' hilo mapema?
Chezeni mpira nyie,na leo ni aidha mfungwe au mtoke sare...
Viva Toto Africans [emoji119]
Mkuu naskia rais wao kaja na kazindua kampeni ya rejesha pointi kagera hii nchi ya ajabu kweli mwesigwa na malinzi wanataka kurudisha pointi kwa shinikizo la yanga Kwa vile walikuwa viongozi wa yanga mhhhhh kazi sanaHiyo ni rushwa kama rushwa nyingine. kwenye nchi ambazo rushwa haikubaliki na ambako pia mchezo wa soka unaheshimiwa tendo kama hilo linatosha kumpeleka mtu jela na kuishusha timu ambayo imefaidika na rushwa hiyo. wanabahati kwakuwa tupo Tanzania, ila muwaambie waende wakaulize kilichompata aliyekuwa katibu mkuu wa yanga Issa Makongoro.