Mashabiki watano wa yanga wamwagwa manoti kwa Toto Africa

Mashabiki watano wa yanga wamwagwa manoti kwa Toto Africa

Point hizo tulipewa kihuni kabisaaa. Mi naipenda simba ila siku zote huwa namwomba Mungu kupitia mpira nisimkwaze Mungu ila niseme kweli bila kuleta ushabiki.
 
Points zenyewe mpaka kwa hisani ya kamishina wa mchezo na board ya ligi...siku ya mechi ya Mbao refa amechezesha dakika 100 kuwatafutia ushindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndimu zipo wapi tuwape...tumekaba kila kona
 
Haya mambogamboga FC yanatoa hela kwa toto huku kuna wachezaj wao wanadai malimbikizo ya mishahara kwa miez mitatu. Bora hiyo million 30 yangeenda kuondoa mafuriko kwenye uwanja wao jangwani
Na hii dhambi yao lazima iwarudie tu.
 
Leo lazima toto la vyura life na lishuke daraja. .
 
Full time 0-0
Sijui nani Leo amecheza akiwa na kadi nyingi upande wa Toto africa
 
Mkuu naskia rais wao kaja na kazindua kampeni ya rejesha pointi kagera hii nchi ya ajabu kweli mwesigwa na malinzi wanataka kurudisha pointi kwa shinikizo la yanga Kwa vile walikuwa viongozi wa yanga mhhhhh kazi sana
Kwani waliokata rufaa ya kurejeshewa point ni yanga au kagera?
 
Sifa za kijinga huku wachezaji hawajalipwa mishahara yao, chirwa kagoma kusafiri hakuja kuuza sura.
 
Sifa za kijinga huku wachezaji hawajalipwa mishahara yao, chirwa kagoma kusafiri hakuja kuuza sura. Shangilieni ya Toto kujifariji na goli 4:0
 
Sifa za kijinga, timu ishafungwa mnajifariji kwa Toto, wapeni wachezaji pesa zao bna
 
Back
Top Bottom