[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndimu zipo wapi tuwape...tumekaba kila konaPoints zenyewe mpaka kwa hisani ya kamishina wa mchezo na board ya ligi...siku ya mechi ya Mbao refa amechezesha dakika 100 kuwatafutia ushindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo pesa lipeni mishahara ya wachezaji wenu
Na hii dhambi yao lazima iwarudie tu.Haya mambogamboga FC yanatoa hela kwa toto huku kuna wachezaj wao wanadai malimbikizo ya mishahara kwa miez mitatu. Bora hiyo million 30 yangeenda kuondoa mafuriko kwenye uwanja wao jangwani
Hahahaaaaaaa nipo mkuu,tukutane leo jioni...Upo nifar? Sijakuona hapa tangia ile mechi ya mbao
Sawa sawa nimekutafuta kila sehemu sijakuona baada ya mbao kukatika siku ile naona ulila na suruariHahahaaaaaaa nipo mkuu,tukutane leo jioni...
Fuatilia matokeo utuletee hapaToto letu 3-mikia 0
Nasikia mkuu et mchua misuli wa Toto ana kadi3Full time 0-0
Sijui nani Leo amecheza akiwa na kadi nyingi upande wa Toto africa
Kwani waliokata rufaa ya kurejeshewa point ni yanga au kagera?Mkuu naskia rais wao kaja na kazindua kampeni ya rejesha pointi kagera hii nchi ya ajabu kweli mwesigwa na malinzi wanataka kurudisha pointi kwa shinikizo la yanga Kwa vile walikuwa viongozi wa yanga mhhhhh kazi sana