Mashabiki Wavamia Uwanja Old Trafford.

Glazer family imekomaa, haitaki kuondoka mana inaona utamu wa mahela yanayoingia
 
Mkuu hao wamiliki wao ni parasite, wanajilipa mamilioni wenyewe kama 'Consultant fees' kila mwaka wakati uwanja umechoka unahitaji marekebisho, mvua ikenyesha panavuja 😂😂
Timu ni yao lakini wana haki ya kufanya chochote mashabiki wakichoka bora wasuse kuingia mpirani
 
Mkuu hao wamiliki wao ni parasite, wanajilipa mamilioni wenyewe kama 'Consultant fees' kila mwaka wakati uwanja umechoka unahitaji marekebisho, mvua ikenyesha panavuja [emoji23][emoji23]
Pamekua Kwa bibi au vile vya CCM [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…