Ongezea na roho mbaya tena ile inayotoka moyoni na sio maigizoSijui ni kwanini.
Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba.
Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu.
Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana mitandaoni ndio wanaoongoza kuichafua Yanga hasa wanapoona inafanikiwa.
Kweli kabisa.Sijui ni kwanini.

Vya mdundiko.Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania.
Hivyo vingine ni vikundi vya sanaa