Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Tena Namungo inacheza ligi ya NMB [emoji15]Mpole anacheza namungo! Mweeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Namungo inacheza ligi ya NMB [emoji15]Mpole anacheza namungo! Mweeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hapa mechi inayofuata na Geita Gold tunaweza kutoa sare tena hii mechi
.Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?
Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?
Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.
Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.
Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?
Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.
Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.