Mashabiki wenzangu wa Yanga tusikubali tena makosa ya kuaminishwa vitu vya ajabu ajabu

Mashabiki wenzangu wa Yanga tusikubali tena makosa ya kuaminishwa vitu vya ajabu ajabu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu.

Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
 
Wewe ndo una matatizo.
Kwanini unakubali kuaminishwa wakati ukweli unaujua?
 
Msemaji wetu mpya alituaminisha tunge mkomelea kipigo kizitoooowale waarabu weusi wa Susan .. tukawaamini mazimaa pale taifa tuka ponea chupuchupu

Sasa safri hiiwasitudanganye eti Wale wa Tunisia timu ya kawaida kawaida
Huyu mwarabu mweupe tunaenda kupindua mkeka palepale Tunis. Mayele lazima ateteme mara tatu.

Katimu ka kawaida sana kale, wananchi tujipige vifua. Mwiko nyuma!
 
Back
Top Bottom