luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Oct 18, 2022 #1 Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Oct 18, 2022 #2 Pia wasitudanganye tutampiga simba...wakati inaonesha saivi simba ya pep sio poa
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Oct 18, 2022 #3 Wewe ndo una matatizo. Kwanini unakubali kuaminishwa wakati ukweli unaujua?
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Oct 18, 2022 #4 luangalila said: Msemaji wetu mpya alituaminisha tunge mkomelea kipigo kizitoooowale waarabu weusi wa Susan .. tukawaamini mazimaa pale taifa tuka ponea chupuchupu Sasa safri hiiwasitudanganye eti Wale wa Tunisia timu ya kawaida kawaida Click to expand... Huyu mwarabu mweupe tunaenda kupindua mkeka palepale Tunis. Mayele lazima ateteme mara tatu. Katimu ka kawaida sana kale, wananchi tujipige vifua. Mwiko nyuma!
luangalila said: Msemaji wetu mpya alituaminisha tunge mkomelea kipigo kizitoooowale waarabu weusi wa Susan .. tukawaamini mazimaa pale taifa tuka ponea chupuchupu Sasa safri hiiwasitudanganye eti Wale wa Tunisia timu ya kawaida kawaida Click to expand... Huyu mwarabu mweupe tunaenda kupindua mkeka palepale Tunis. Mayele lazima ateteme mara tatu. Katimu ka kawaida sana kale, wananchi tujipige vifua. Mwiko nyuma!