kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kila shabiki wa Yanga anafahamu kilichotokea kwa mdhamini wa klabu. Mashabiki wa Yanga wako tayari kutoa michango kwa hiari kuichangia timu yao ifanye vizuri kwenye ligi na mechi za kitaifa kama watatakiwa kufanya hivyo na viongozi wao.
Tuelezwe wapi na namna ya kuichangia klabu yetu.
Club pia ingeanzisha bahati na sibu kama vile BIKo au tatu mzuka kama chanzo kimojawapo cha mapato.
Hatupendi kusikia timu haikufanya vizuri kwasababu ya ukosefu fedha. Wakati huu ambao club inatafuta vyanzo madhubuti vya fedha wanachama Na mashabiki kama tukishirikishwa tunaweza kupunguza nakisi kwenye budget ya Yanga.
Starehe ni gharama
Ni wazo langu tu binafsi.