Mashabiki Yanga wako tayari kuichangia timu yao ishinde

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kila shabiki wa Yanga anafahamu kilichotokea kwa mdhamini wa klabu. Mashabiki wa Yanga wako tayari kutoa michango kwa hiari kuichangia timu yao ifanye vizuri kwenye ligi na mechi za kitaifa kama watatakiwa kufanya hivyo na viongozi wao.

Tuelezwe wapi na namna ya kuichangia klabu yetu.

Club pia ingeanzisha bahati na sibu kama vile BIKo au tatu mzuka kama chanzo kimojawapo cha mapato.

Hatupendi kusikia timu haikufanya vizuri kwasababu ya ukosefu fedha. Wakati huu ambao club inatafuta vyanzo madhubuti vya fedha wanachama Na mashabiki kama tukishirikishwa tunaweza kupunguza nakisi kwenye budget ya Yanga.

Starehe ni gharama

Ni wazo langu tu binafsi.
 
Mkuu kaombe msaada kwa watani wenu, maana zile 1.3 bil zilizotajwa kuhusika kwenye usajili ilihali sio kweli ilikuwa ni kujitapa tu waga zinakuuma sana

Huwezi kuchangia post ya Simba bila kitaja hiyo amount ya pesa tangu nikufahamu humu

Alafu badili heading useme niko teyari kuchangia club yangu ya yanga, unasema mko teyari na nani? Unaongelea wenzio na hali hii ilivo nani aache kuacha hiyo buku 5 nyumbani watoto wale angalau makande akampe hela mzee akilimali

We kama unazo za kuchangia ongoza tu hadi jangwani ukiwa na makamera maana hv hv zitaliwa kimya kimya, then kawape na utakuwa umeisaidia club yako pendwa na sio kujificha jf na kujifanya una hurumaaa kumbe huna lolote
 
Kiundwe kitengo cha kupita misikitini ijumaa na makanisani sabato na jumapili kuomba misaada kwa waumini

Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unategemea Mo akukune na kukupa raha? Sisi Yanga tuko tayari kujikuna na kujipa raha sisi wenyewe.
Tunagharamia starehe yetu kama tunavyogharamia starehe nyingine kwenye baa na guest houses. Mbomba siku ile tulimpa fedha mchezaji wa Stand United pale uwanjani baada ya mechi yenu kwa kutupa raha ya kuwazuia wamchangani kushinda? Au hukuona?
 
Mkuu kaombe msaada kwa watani wenu, maana zile 1.3 bil zilizotajwa kuhusika kwenye usajili ilihali sio kweli ilikuwa ni kujitapa tu waga zinakuuma sana

Huwezi kuchangia post ya Simba bila kitaja hiyo amount ya pesa tangu nikufahamu humu

Alafu badili heading useme niko teyari kuchangia club yangu ya yanga, unasema mko teyari na nani? Unaongelea wenzio na hali hii ilivo nani aache kuacha hiyo buku 5 nyumbani watoto wale angalau makande akampe hela mzee akilimali

We kama unazo za kuchangia ongoza tu hadi jangwani ukiwa na makamera maana hv hv zitaliwa kimya kimya, then kawape na utakuwa umeisaidia club yako pendwa na sio kujificha jf na kujifanya una hurumaaa kumbe huna lolote

Kila kitu ambacho hakiwezekani kwenye maisha ya kawaida kinawezekana kwenye mpira wa miguu. Football is a crazy game, unaweza kumuweka rehani mpenzi wako kwasababu ya mpira.

Kama huamini hebu Mkwasa aweke hewani namba ya kuichangia Yanga uone mashabiki watakavyomimina chapaa zao kuelekea huko. Hatutaki kutegemea wafadhili ambao hawapo siku zote.
 
Mkuu kaombe msaada kwa watani wenu, maana zile 1.3 bil zilizotajwa kuhusika kwenye usajili ilihali sio kweli ilikuwa ni kujitapa tu waga zinakuuma sana

Huwezi kuchangia post ya Simba bila kitaja hiyo amount ya pesa tangu nikufahamu humu

Alafu badili heading useme niko teyari kuchangia club yangu ya yanga, unasema mko teyari na nani? Unaongelea wenzio na hali hii ilivo nani aache kuacha hiyo buku 5 nyumbani watoto wale angalau makande akampe hela mzee akilimali

We kama unazo za kuchangia ongoza tu hadi jangwani ukiwa na makamera maana hv hv zitaliwa kimya kimya, then kawape na utakuwa umeisaidia club yako pendwa na sio kujificha jf na kujifanya una hurumaaa kumbe huna lolote
Muonekano wako ni wa kupenda starehe bila kulipia, utaolewa.
 
Akili ndogo bwana sasa unapanick nini ikiwa nimekupa ushauri mzuri tu kama kweli una nia ya dhati ya kuisadia club yako....!

Anyway umeona wana yanga wanagapi wamekuunga mkono kwenye huu uzi wako mkuu? Hakuna mwenye huo ujinga mzee maisha yenyewe haya acha kutafuta sifa Jf kama kweli una nia ya kusaidia club yako zipo njia sahihi na sio kujifanya mtoaji nyuma ya keyboard ikiwa huna ata kadi ya uanachama PUTA...!
 
Mtoa uzi jf ingekuwa na option ya kuweka likes zaidi ya moja ningeipa post yako likes 1000,nasapoti wazo kama hili ili tuweze kusongesha timu yetu mbele maana tumechoka na wafadhili hewa
 
Wengi (Lukwafya) wanaojielewa wame like thread, hakuna mwana-Yanga aliyesema hapana ila wewe, ila sikulaumu sana kwakuwa nafahamu ww ni miongoni mwa watanzania wanaopenda vya bure, wanapenda starehe viwanjani zinazogharimiwa na akina Manji na Mo na kusahau kwamba Simba na Yanga ni mali za wananchi. Bahati mbaya wananchi wenyewe wako kama ivan don wanaodhani kazi ya kugharamia timu ni ya wafadhili, hata kwenda uwanjani haendi, hata jezi original ya club hanunui.
 
Mwambie ivan do kuwa timu ya Yanga ni timu ya wananchi. Hashangai timu haina mfadhili lakini pengo kati ya Yanga na Simba (mabilionea) kwenye ligi ni point 3 tu.
 
Wengi (Lukwafya) wanaojielewa wame like thread, hakuna mwana-Yanga aliyesema hapana ila wewe, ila sikulaumu sana kwakuwa nafahamu ww ni miongoni mwa watanzania wanaopenda vya bure, wanapenda starehe viwanjani zinazogharimiwa na akina Manji na Mo na kusahau kwamba Simba na Yanga ni mali za wananchi. Bahati mbaya wananchi wenyewe wako kama ivan don wanaodhani kazi ya kugharamia timu ni ya wafadhili, hata kwenda uwanjani haendi, hata jezi original ya club hanunui.
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kuonesha ujinga wako? Kwahiyo hizo like 3 ndo za wana yanga wanaojielewa? Kumbe kuna wimbi kubwa la wasiojielewa na kwakuwa wewe hujalike hapo basi nawewe pia hujielewi ndomana unaongea kama umekatika kichwa

Ohhh unanifahamu napenda vya bure, namie nikisema nakufahamu kuwa wewe ni shoga nitakosea? Jf humu kuna wana yanga kibao so kupata like 3 ni dhahili kuwa wamekupuuza wewe na mawazo yako kwakuwa kuna taratibu za kutoa msaada sio unakurupuka tu huko na mastress yako unawaletea wenzio

Kwakuwa nishajiridhisha kuwa na wewe ni miongoni mwa wasiojielewa hivo nikiendelea kukujibu namie nitakuwa sijielewi, hivo nikuache na uzi wako na ikibidi uchukue ushauri wa mchangiaji pale juu, muweke masanduku kwenye misikiti na makanisa yakiwa na logo ya yanga, hii ni njia rahisi kidogo

NB. Mjinga sio tusi
 
Mkuu kaombe msaada kwa watani wenu, maana zile 1.3 bil zilizotajwa kuhusika kwenye usajili ilihali sio kweli ilikuwa ni kujitapa tu waga zinakuuma sana

Huwezi kuchangia post ya Simba bila kitaja hiyo amount ya pesa tangu nikufahamu humu

Alafu badili heading useme niko teyari kuchangia club yangu ya yanga, unasema mko teyari na nani? Unaongelea wenzio na hali hii ilivo nani aache kuacha hiyo buku 5 nyumbani watoto wale angalau makande akampe hela mzee akilimali

We kama unazo za kuchangia ongoza tu hadi jangwani ukiwa na makamera maana hv hv zitaliwa kimya kimya, then kawape na utakuwa umeisaidia club yako pendwa na sio kujificha jf na kujifanya una hurumaaa kumbe huna lolote
We vipi...wenye timu yetu tutachanga...we wahi kaandae barua ya malalamiko FIFA maana mwisho wa msimu kama kawa.
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kuonesha ujinga wako? Kwahiyo hizo like 3 ndo za wana yanga wanaojielewa? Kumbe kuna wimbi kubwa la wasiojielewa na kwakuwa wewe hujalike hapo basi nawewe pia hujielewi ndomana unaongea kama umekatika kichwa

Ohhh unanifahamu napenda vya bure, namie nikisema nakufahamu kuwa wewe ni shoga nitakosea? Jf humu kuna wana yanga kibao so kupata like 3 ni dhahili kuwa wamekupuuza wewe na mawazo yako kwakuwa kuna taratibu za kutoa msaada sio unakurupuka tu huko na mastress yako unawaletea wenzio

Kwakuwa nishajiridhisha kuwa na wewe ni miongoni mwa wasiojielewa hivo nikiendelea kukujibu namie nitakuwa sijielewi, hivo nikuache na uzi wako na ikibidi uchukue ushauri wa mchangiaji pale juu, muweke masanduku kwenye misikiti na makanisa yakiwa na logo ya yanga, hii ni njia rahisi kidogo

NB. Mjinga sio tusi
Uzi huu ulikuwa mahusuzi kwa mashabiki wa yanga, wewe unawashwa na pilipili usiyoila, hizo ni tabia za ushoga. Nyie Simba mna mfadhili wenu anayewafurahisha kwa kila kitu, sisi Yanga hatuna mfadhili lakini starehe tunaitaka, hivyo kuna ubaya gani kuigharamia wenyewe hata kwa sh. 1000 au 500 kwa hiari? tunataka wachezaji wetu wasikose hata maji ya kunywa uwanjani kwakuwa eti hatuna Manji au Mo. Tunaoipenda Yanga tunachangia hadi sasa ndio maana timu ipo, wewe endelea kukinga mikono kupata starehe ya bure kwa Mh. Mo.
 
Churaaaaa
ac3d8fdcfea87314bca217c1a3e704ad.jpg
 
Kama kuongelea upinzani ni dalili za ushoga basi kwako sio dalili tena ni shoga kabisa, una comments nyingi unaongelea SIMBA kuliko unazoongelea team yako

Punguza povu mtoto wa kiume, hela itumike simba wewe ikuume utaliwa kiboga, kutwa unaongelea 1.3 bil na nyie pitisheni bakuli kama kawaida yenu na safari hii muweke masanduku kwenye nyumba za ibada mtaipata tu PUTA...!
 
Kujitegemea ni heshima kubwa. Endelea kutegemea wanaume wenzio kwenye starehe zako
 
Sasa mkuu hadi wakakusikie wenzio wapitishe bakuri unazani ni leo utachelewesha mchango na wachezaji wanahitaji kulipwa madai yao ya mishahara na posho

kwakuwa wewe ndio unaonekana una haraka sana na mchango, unaonaje ukija PM ili nione nakusaidia vipi alafu me shida yangu ndogo tu, nitaomba 0717 maana unaonekana mzoefu sana, so okoa timu yako
 
Umezitoa kwa mdhamini, kakupa ngapi? Mimi nina surplus ndio maana niko tayari kuichangia timu, wewe mpaka utoe kitu upewe kitu, njoo tuelewane nitachangia timu kidogo na wewe nitakupa kiasi kwa kazi kiasi.

Rahisi ni ghali
 
Ahhh mkuu acha basi kuona aibu okoa jahazi la omba omba fc, uzi unafikisha siku mbili sasa alafu wenzio kama hawakuoni vile wamekuzilia wewe ndio upitishe bakuli, okoa muda njoo PM tuyajende wenzio hawatatoa ata mia

Njoo uchukue hela ya posho ya wachezaji wa kimataifa kwa mashart nafuu kabisa, 0717.... Usisahau mafuta ya nazi ehhh PUTA.
 
Duh! Mkuu wamekuonyesha hadi brand ya mafuta wanayokupaka!!. Hili jambo ni kubwa sana nchini. Mkuu kiwango chako cha kuelewa kiko chini sana, mimi nimekuambia kuwa ninayo pesa ya ziada inayotosha kula, kusomesha, kujenga, ku drive, kunywa, "kukupa" wewe na hata kuchangia club yangu ya Yanga bila kuteteleka. Haiwezekani mtu awaze kuchangia timu wakati chakula hana au watoto wanadaiwa karo. NInakukaribisha kwa mikono miwili hutajutia uwamuzi wako, achana na 0717 na mafuta ya nazi wanayokupaka huko. Tutaigharamia starehe ya mpira hata bila ya wafadhili.

Kwa taarifa yako mpaka sasa club inategemea mifuko ya wanachama na mashabiki wake, ndiyo maana unaona klub iko vile ilivyo. Starehe ni gharama
 
Back
Top Bottom