Mashabiki Yanga wako tayari kuichangia timu yao ishinde

Mashabiki Yanga wako tayari kuichangia timu yao ishinde

Duh! Mkuu wamekuonyesha hadi brand ya mafuta wanayokupaka!!. Hili jambo ni kubwa sana nchini. Mkuu kiwango chako cha kuelewa kiko chini sana, mimi nimekuambia kuwa ninayo pesa ya ziada inayotosha kula, kusomesha, kujenga, ku drive, kunywa, "kukupa" wewe na hata kuchangia club yangu ya Yanga bila kuteteleka. Haiwezekani mtu awaze kuchangia timu wakati chakula hana au watoto wanadaiwa karo. NInakukaribisha kwa mikono miwili hutajutia uwamuzi wako, achana na 0717 na mafuta ya nazi wanayokupaka huko.
Huna ata mia wewe kapuku tu, wenye hela wanajua namna ya kuchangia team yao na hawana mda wa kuja kulilia jf kijana, we peleka sanduku kanisani na msikitini upate chochote kitu ila humu huambulii chochote, nimekushauli kwakuwa kapuku wewe una nia ya dhati ya kuchangia team yako njoo tuyajenge, uumie wewe kwa ajili ya team yako ufe kijerumani, mashart madogo tu me naomba ndogo then we unaenda kuvimba kichwa jangwani kwa mpitisha bakuli wenu almaarufu Akilimali

Njoo bana huwezi kutimiza lengo kama utaendelea kuona aibu
 
Back
Top Bottom