Mashada.com imefungwa....Crackdown on hate speech blogs.

Mashada.com imefungwa....Crackdown on hate speech blogs.

Kibunango, umenikumbusha mbali enzi hizo....hivi, Kizzo (Gunz) yuko wapi?
Haaa haaa haaa!
Kizzo yupo Dar... Kama unapenda nyama choma, kuna Nyama Choma Festival mapema mwezi wa tatu pande za Kijitonyama, unaweza kumpata hapo..
 
Haaa haaa haaa!
Kizzo yupo Dar... Kama unapenda nyama choma, kuna Nyama Choma Festival mapema mwezi wa tatu pande za Kijitonyama, unaweza kumpata hapo..
Nashukuru Kibunango kwa taarifa hiyo nitajitahidi kwenda pande za Kijitonyama muda huo ukifika. Nayakumbuka sana machachari yake kwenye hoja...ingekua swaaaafi sana kama tungekua naye hapa JF.

 
Na inaonekana JF ndo tunaelekea huko kama hatutajitambua mapema

Hapana, hatujafikia level ile ya Mashada.
Huo ni uonevu bana.uhuru wa kujieleza lazima uheshimiwe period
Uhuru una mipaka. Ndio sababu hata hapa JF ikitokea mtu ukatoka povu na kutoka nje ya mada lazima mods wakupunguze makali
 
Dah! Nilikuwa nyuma sana aisee!! Unajua for days now nimekuwa nikitaka kuingia Mashada, lakini nimekuwa nikipata message [h=1]"Oops! Google Chrome could not find www.mashada.com"[/h][h=1]Nimehangaika siku zote hizi aisee.....na hapa ndipo ninapopata picha why JF wameanza kuzifunga threads nyingi hususani zile za kidini!! Bila shaka ni ile ya TAHADHARI KABLA YA HATARI ili yasije kutokea ya MWENZAKO AKINYOLEWA, WEWE TIA MAJI! Ni good start, thread za udini humu jamvini zinachochea sana chuki miongoni mwa jamii![/h]
 
Back
Top Bottom