Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
1. ACP Kingai, Afisa wa polisi
2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi??
3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi
4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege
5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo
6. SSP Sebastian Madenge, Afisa wa polisi
7. Inspector Omary Mahita, Afisa wa polisi.
8. Jumanne Malangahe SP, Afisa wa polisi.
9. Askari?
10. Askari? ........24?

Yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.

Hadi sasa jumla ya Majaji Watatu wamesikiliza kesi hii; Jaji Elinaza Luvanda aliyejitoa baada ya upande wa utetezi kutokuwa na imani naye, Jaji Kiongozi Mustapha Siyani alijitoa kwa sababu ya majukumu yake na sasa ipo chini ya Jaji Joachim Tiganga.

21FDC3C1-2C08-4EFB-BF95-4E25C3BAB34C.jpeg
 
Siro na Mama Samia huenda huko waliko vichwa vinawauma mnoo, maana mpaka sasa mashahidi wao wamewaangusha mnoo na kuiabisha jamhuri.

Yaani kesi ya uongo, shahidi wa kuunga unga, jaji wa kutengeneza na wakili wa serikali ni kilaza fulani, kinachotokea ni aibu tupu mahakamani.
 
Kwenye hiyo list mleta uzi usisahau kuwaweka majaji maana na wao wamegeuka sehemu ya uhuni wa jamuhuri.
 
Back
Top Bottom