Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

Kuanza hapo 9 mpaka 24, ndiko kwenye upotolo zaidii

Ninaliona hilo zaidi pia kwa sababu huenda wamepangwa kutokana na umuhimu na kama ni polisi kwa vyeo. Sasa wameanza kuja ma PC na hawa ndio wale divisheni pendwa katika matumizi ya nguvu! Ubaya kabisa ni kuwa mashahidi wa mwanzo wameshaeleza hakukuwa na forensic tests (finger prints, lab tests) wala ushahidi wa voice au text messages.

Mashahidi wanaofuata wanafurahisha. Huenda wasiwe na maana kama Kaaya aka Power!
 
Hahaa eti divisheni pendwa, kama hakukuwa na forensic test before ambayo ni evidence muhimu sasa mashahidi wanaofuata wanakuja kuleta nini kama sio stories za wapi walikutana na Mbowe kwa mara ya kwanza.

Kuna wakati nilisema.....

 
Kati ya mashahidi 24 , 21 ni Polisi , Hili tuliambiwa mapema tu
 
Upande wa Utetezi umemwandikisha Sirro kama mmoja wa Mashahidi wake wa kutegemewa
 
Kati ya mashahidi 24 , 21 ni Polisi , Hili tuliambiwa mapema tu
Nafikiri hawa mashahidi ni wengi mno kuna siku watakuja kujikana wao kwa wao. Sasa hao polisi wengine watakuja kusema nini kuwa walitumwa kupeleka barua kwa DCI au mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…