Mashahidi wa ICC walipotezwa kwenye viroba?

Mashahidi wa ICC walipotezwa kwenye viroba?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Kama mnavyokumbuka vurugu baada ya uchaguzi Mkuu 2007/08 zilisababisha mauaji ya watu kadhaa. Kesi ikapelekwa Mahakama ya ICC-The Hague,

2. Watuhumiwa wakiwemo - Uhuruto na wengine wakaitwa kwenye kesi - The Hague kufika kwenye mashahidi ni ama upokee mlungula na ukaushe au uharibu ushahidi au upotezwe kwenye mfuko. Kesi ikafa KIBUDU. Leo hii ni historia hakuna aliyefungwa kwa mauaji yale.

3. Miaka kadhaa baadae jambo kama hilo limejirudia Kenya. Vijana Gen Z wanaokotwa kwenye madimbwi, jalalani.

NB: Binafsi, ninaamini mauaji ya Gen Z kwenye viroba yamepangwa na watuhumiwa wale wale wa ICC zama zile.
 

Attachments

  • GSEhrkMaUAQtcIO.jpg
    GSEhrkMaUAQtcIO.jpg
    286.4 KB · Views: 5
Ichanganuwe zaidi hoja yako. Uandishi wako haujakaa fresh mzee
 
Back
Top Bottom