Mashairi wimbo "Komaa Nao" by East Coast Team

Mashairi wimbo "Komaa Nao" by East Coast Team

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
Naamini mtakufa nyinyi
Kupona nitapona mimi
Kama biashara ya madini
Mgodi na umiliki mimi
Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni
Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni
'Pumbavu'...
Hawanipendi wanaomba nikatike ulimi
Na kwenye 'MV Bokoba' ningekuwepo pia mimi
Na wanapenda kuwa mimi
Na mimi napenda kuwa mimi
Ndiyo maana hatuelewani
Ndiyo maana siwezekani
Na kila dua mbaya kwangu
Inageuka kuwa madini
Doni...!!
Kama kalioni maadui zangu hawaponi
Waliyojaribu wananiamini nina nguvu nyingi akilini
Mtaani kwangu machizi hawafahamu
Swarovision ni ngumu
Visu nikizindi sana
'Superstition' ndiyo maana it’s hard to tell...
I’m East Coast Army, najua umechoka niite kazi...
Bi Yeah..!!
Na Bonnie Venture...
Komaa nao, komaa nao..."


(Hamis Mohammed Mwinjuma a.k.a mwana FA, ama binamu & Mwanafalsafa)

Ukwaju wa kitambo

0767 542 202
 

Attachments

  • download-7.jpg
    download-7.jpg
    7.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom