Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Apr 3, 2019 #21 Kuna shairi lilitungwa na USTADHI AMIRISOUD ANDANENDA kwenye kitabu chake kinaitwa DIWANI YA USTADHI ANDANENGA
Kuna shairi lilitungwa na USTADHI AMIRISOUD ANDANENDA kwenye kitabu chake kinaitwa DIWANI YA USTADHI ANDANENGA
Mohamedmteleke Senior Member Joined Mar 21, 2019 Posts 137 Reaction score 172 Apr 4, 2019 #22 Idd Ninga said: Vijana naona mzuka wa mashairi kawapanda. Huo ulimwengu bado uhai japo una changamoto nchini Tanzania. Click to expand... Ninga wacha uzembe tupia hapo ubeti, tenz uzipelembe uchome na kibiliti, kimbia acha uzembe nataka nikupe jiti, ninga mkulumbembe tarizi vazi la suti
Idd Ninga said: Vijana naona mzuka wa mashairi kawapanda. Huo ulimwengu bado uhai japo una changamoto nchini Tanzania. Click to expand... Ninga wacha uzembe tupia hapo ubeti, tenz uzipelembe uchome na kibiliti, kimbia acha uzembe nataka nikupe jiti, ninga mkulumbembe tarizi vazi la suti
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Apr 6, 2019 #23 Dhiki ni kama mzaa Asiyecheka ni nani? Basi cheka hahaha Ndiyo ada ya duniani. Basi cheka kwakwakwa Usifie moyo wako. Shaaban Robert kwenye kitabu chake cha siku ya watenzi wote
Dhiki ni kama mzaa Asiyecheka ni nani? Basi cheka hahaha Ndiyo ada ya duniani. Basi cheka kwakwakwa Usifie moyo wako. Shaaban Robert kwenye kitabu chake cha siku ya watenzi wote