Mashairi ya Kitambo Tupia la kwako

Mashairi ya Kitambo Tupia la kwako

Kuna shairi lilitungwa na USTADHI AMIRISOUD ANDANENDA kwenye kitabu chake kinaitwa DIWANI YA USTADHI ANDANENGA
 
Vijana naona mzuka wa mashairi kawapanda.
Huo ulimwengu bado uhai japo una changamoto nchini Tanzania.
Ninga

wacha uzembe tupia hapo ubeti, tenz uzipelembe uchome na kibiliti, kimbia acha uzembe nataka nikupe jiti, ninga mkulumbembe tarizi vazi la suti
 
Dhiki ni kama mzaa
Asiyecheka ni nani?
Basi cheka hahaha
Ndiyo ada ya duniani.
Basi cheka kwakwakwa
Usifie moyo wako.

Shaaban Robert kwenye kitabu chake cha siku ya watenzi wote
 
Back
Top Bottom