JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme,
Miradi hiyo ni kama SGR na Viwanda. Na Jana Rais kasema kuna mradi wa Mabasi ya umeme.
Waziri J. Makamba aliomba apewe walau miaka minne. Rais analijua hili tatizo lilivyokubwa na namna litakavyokwamisha miradi hiyo?
Tuwe makini katika hili #Wahuni sio watu wazuri.