Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
Kiongozi lzm uwe na kitu cha zaidi Kama huna jitathimini.JPM aliogopwa kwani hakutaka kusikiliza utaalam unasemaje juu ya suala husika. Haupo uwezekano binadamu wote tukafanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi lzm uwe na kitu cha zaidi Kama huna jitathimini.JPM aliogopwa kwani hakutaka kusikiliza utaalam unasemaje juu ya suala husika. Haupo uwezekano binadamu wote tukafanana.
Kwamba hadi mitambo iliogopa kutumbuliwa. TeheeBado swali langu halijajibiwa hadi leo, kufa kwa hiyo mitambo kulikua kunamsubiti January?
Mitambo haiongei, ukishindwa kufanya maintenance tu itakufa, Ila wewe unataka kutuaminisha mitambo ilikua nayo inaogopa kutumbuliwa