Nawe umetekewa na Story za January?. Tehee.. Ukisema perfomance imeshuka utalaumiwa?.Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
Unalinda legacy? Kati ya maraisi waliyo fanya mengi nadhani JK alifafanya mengi na mark my words SSH atafanya mengi zaidiNawe umetekewa na Story za January?. Tehee.. Ukisema perfomance imeshuka utalaumiwa?.
Unaamini kabisa kwamba kwa miaka mtano hakukufanyika matengenezo? Wala huna mda wa kutaka kujua kama yalifanyika ama lah...
Watu 200 wa kitengo cha habar wanakosa KAZ ,kisa makambaNawe umetekewa na Story za January?. Tehee.. Ukisema perfomance imeshuka utalaumiwa?.
Unaamini kabisa kwamba kwa miaka mtano hakukufanyika matengenezo? Wala huna mda wa kutaka kujua kama yalifanyika ama lah...
Kwa hiyo Mitambo iliendeshwa kwa karibia miaka 6 bila ya kusafishwa wala kufanyiwa Matengenezo? Ni mitambo gani ina uwezo wa kuhimili hivyo??? Hayo matango pori kawalisheni watu wengine wasioweza kufikiri.Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
Sidhani kama ni hoja yake kuwa analinda legacy. Unachotakiwa kumjibu ni kuwa kama kweli hakuna mitambo iliyofanyiwa maintainance wakati wa MZ, kwa nini mafundi tanesco walikuwa site kwa masaa 24? Kwa nini umeme ulisambazwa sehemu nyingi zaidi? Kwa nini vituo vilipanuliwa zaidi? Kama kweli uwezo ulibakia ule ule, mimi nadhani hali ya kukatika kwa umeme ingekuwa mbaya zaidi wakati ule kuliko sasa. Mjibu hoja yake na usikimbilie legacy mkuu.Una linda legacy? Kati ya maraisi waliyo fanya mengi nadhani JK alifafanya mengi na mark my words SSH atafanya mengi zaidi
Lambda SSH kwa vile anamda.Unalinda legacy? Kati ya maraisi waliyo fanya mengi nadhani JK alifafanya mengi na mark my words SSH atafanya mengi zaidi
Wakati wa kikwete ulivyokua unakatika na watu walikua hawogopi kutumbuliwa nini kilikua shida?Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
Sifa kubwa ya JK ni kuwa aliachia nchi mambo yajiendee kama mbuzi wasiokuwa na mchungaji. Yeye akawa anapiga ruti tu kwenda nchi za nje kula maraha; pale airport ilikuwa ndiyo living room yake. Sasa wale mbuzi waliokuwa wanakula mpaka kuvimbiwa walipopata mchungaji wa kuhakikisha wanakula walipopangiwa tu, wakamchukia sana mpaka kaburini. Mama yeye kaanza kwa kuruhusu mbuzi wale chochote kulingana na urefu wa kamba zao, siyo kuwa kile walichopangiwa; baadaye huenda naye akaishia kuwachia mbuzi wajilie wanavyotaka iwapo serikali yenyewe ndiyo hii.Lambda SSH kwa vile anamda.
Ila kwa JK unataka kuonesha mahaba. Miaka kumi ya JK lakini alikimbizwa mbaya na Miaka 5 ya Hayati JPM?
JPM aliogopwa na aliipenda hali hiyo. Hakujua madhara ya kuogopwa yanadumu kwa miaka mingapi.Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
Ujinga huu,Kama ukarabati haukufanyika muda huo kwanini matatizo hayakutokea wakati huo Hadi sasa,magu ni kiboko kuongoza kuna hitaji akili zaidi Kama ya magu.huo utetezi wenu huko ni kukili kushindwa nyie kuleni huo urefu wa kamba zenu.na ndicho kilicho waweka hapo.Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri
JNHPP imeanza kuwekwa maji leo hii, yanaelekezwa kwenye turbines. Tulia, mambo mazuri hayataki haraka.Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme,
Miradi hiyo ni kama SGR na Viwanda. Na Jana Rais kasema kuna mradi wa Mabasi ya umeme.
Waziri J. Makamba aliomba apewe walau miaka minne. Rais analijua hili tatizo lilivyokubwa na namna litakavyokwamisha miradi hiyo?
Tuwe makini katika hili #Wahuni sio watu wazuri.
JPM aliogopwa kwani hakutaka kusikiliza utaalam unasemaje juu ya suala husika. Haupo uwezekano binadamu wote tukafanana.Ujinga huu,Kama ukarabati haukufanyika muda huo kwanini matatizo hayakutokea wakati huo Hadi sasa,magu ni kiboko kuongoza kuna hitaji akili zaidi Kama ya magu.huo utetezi wenu huko ni kukili kushindwa nyie kuleni huo urefu wa kamba zenu.na ndicho kilicho waweka hapo.
Bado swali langu halijajibiwa hadi leo, kufa kwa hiyo mitambo kulikua kunamsubiti January?Kipindi cha mwandazake watu walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa, vyanzo vya umeme havikusafishwa regularly kwa kuogopa kukata umeme na huenda kutumbuliwa, tulikuwa tunaishi kwenye Time bomb ya umeme kipindi hicho, alieleta hizi kero zote ni Magufuli kwa hiyo msilaumu waziri