Nnangale JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 2,664 Reaction score 1,379 Feb 21, 2022 #21 Phillipo Bukililo said: JPM aliogopwa kwani hakutaka kusikiliza utaalam unasemaje juu ya suala husika. Haupo uwezekano binadamu wote tukafanana. Click to expand... Kiongozi lzm uwe na kitu cha zaidi Kama huna jitathimini.
Phillipo Bukililo said: JPM aliogopwa kwani hakutaka kusikiliza utaalam unasemaje juu ya suala husika. Haupo uwezekano binadamu wote tukafanana. Click to expand... Kiongozi lzm uwe na kitu cha zaidi Kama huna jitathimini.
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Feb 22, 2022 Thread starter #22 Phillipo Bukililo said: JNHPP imeanza kuwekwa maji leo hii, yanaelekezwa kwenye turbines. Tulia, mambo mazuri hayataki haraka. Click to expand... Kama ndo hiyo sawa. Sote tunapenda mambo mazuri. Wakilegea tunawasukumiza 2025.
Phillipo Bukililo said: JNHPP imeanza kuwekwa maji leo hii, yanaelekezwa kwenye turbines. Tulia, mambo mazuri hayataki haraka. Click to expand... Kama ndo hiyo sawa. Sote tunapenda mambo mazuri. Wakilegea tunawasukumiza 2025.
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Feb 22, 2022 Thread starter #23 Memento said: Bado swali langu halijajibiwa hadi leo, kufa kwa hiyo mitambo kulikua kunamsubiti January? Mitambo haiongei, ukishindwa kufanya maintenance tu itakufa, Ila wewe unataka kutuaminisha mitambo ilikua nayo inaogopa kutumbuliwa Click to expand... Kwamba hadi mitambo iliogopa kutumbuliwa. Tehee
Memento said: Bado swali langu halijajibiwa hadi leo, kufa kwa hiyo mitambo kulikua kunamsubiti January? Mitambo haiongei, ukishindwa kufanya maintenance tu itakufa, Ila wewe unataka kutuaminisha mitambo ilikua nayo inaogopa kutumbuliwa Click to expand... Kwamba hadi mitambo iliogopa kutumbuliwa. Tehee